Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Breaking news! Michael Richard Wambura aondolewa kwenye uchaguzi wa Simba. stay tuned for more updates! --------------------- Sababu ni kwamba alishawahi kuvuliwa uana chama na klabu hiyo na...
2 Reactions
73 Replies
11K Views
Akizungumza na clouds fm makamu mwenyekiti wa simba amesema kila mwanachama wa simba mwenye mundu panga shoka jembe ajitokeze kwenda kushirikiana katika ujenz wa uwanja huo kama walivyo wahi...
1 Reactions
59 Replies
12K Views
Timu ya taifa Tanzania imepanda viwango vya FIFA kwa nafasi 9 hvyo kuwa ya 113 duniani,ya 27 Africa na ya 6 kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni jambo jema kwa timu ya Ligi Kuu, tena isiyo na chembe ya ubaabishaji kuingia mkataba mnono wa udhamini na kampuni kubwa kama Binslum. Hakika kila mdau wa soka amefurahishwa (au amebarikiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchezaji wa zamani wa timu za Sigara na Simba Gebo Peter(Kuchi) ameafariki dunia jana Usiku.
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Ndugu wanaJF, Rais aliyependa michezo kwa dhati hapa Tanganyikai alikuwa ni Mwalimu Nyerere. Enzi zake aliruhusu mashirika ya umma yawe na timu za mpira,mfano wa mashirika hayo ni timu ya mpira...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unakumbuka hili goli la Bebeto? Alishangilia kwa ajili ya Mtoto wake aliyekuwa ndiyo kazaliwa. Leo hii, Dogo kawa Baba mzima. Kweli miaka inakwenda, lohhh.....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mganga wa Jadi raia wa Ghana, amedai kwamba anahusika kikamilifu kwa jeraha la nahodha wa Portugal, Cristiano Ronaldo linalotishia ushiriki wake kwenye Kombe la Dunia. Portugal wapo kundi moja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Nachokoza tu hapa (rhetorically) maana naona huu mjadala ulianza kushika kasi tangu mechi ya fainali ya ATL na Real Madrid na jana imejitokeza katika mehi ya Starz na Zim zilipoongezwa dk 7...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Official: Kocha mpya wa Yanga ni Marcio Maximo - Yusuph Manji kathibitisha, ngoja tusubiri tuone huyu kocha aliyekosa timu ya kufundisha kwa takribani miaka kadhaa ataleta lipi jipya! source...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Makala hii ilichapishwa katika Mwananchi, Jumatatu 2 Juni 2014... Michezo ya Jumuia ya Madola inatarajia kuanza mwezi Julai mwaka huu huko Glasgow, Uskochi. Tanzania nasi tutashiriki michuano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
....Kampuni ya Binslum Tyres Co. Ltd....chini ya Mkurugenzi wake, Nassor Binslum.....imeingia mkataba wa miaka miwili wa shilingi 360 milioni na klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya....Katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Source: LA Times Donald Sterling has agreed to go along with the $2-billion sale of the Clippers negotiated by his wife, Shelly, in an agreement that will also lead the NBA to drop its...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Kwa jinsi hali inavyoendelea na msukumo wa vyombo vya habari vya kimagharibi, Qatar inaweza kunyang'anywa hati ya kuandaa kombe la dunia 2022 na kupewa Marekani. Sidhani kama ni fair ikiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A fodder for the haters here. Lupita's reign of victory is far from over. She has been named People Magazine's most beautiful person 2014! The Oscar winner was awarded the prestigious honor on...
6 Reactions
184 Replies
31K Views
Fainal score 1-1
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi.. Kwa muda mrefu imekuwa nikitafakar tatizo has la timu yetu ya taifa kushindwa kufanya vzr ktk mechi zake mbalimbal, nikagundua makocha tulionao sio wazur kwenye kutafuta...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Haya ni maneno yaliyosemwa na Damas Ndumbaro Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Simba. Akimaanisha kama unataka/unatarajia kugombea uongozi/nafasi yeyote usiipeleke clabu yako au chama cha mpira...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ilikuwa miaka ya 80, enzi hizo vijana, nilifunga jiwe nikatengeneza kama mpira, juu nikashona vizuri ile mipira ya madaso, ndani nimeweka jiwe tena kubwa, nikamwambia nakurushia mpira huo, jamaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom