ESPN imeripoti kuwa imepata habari kuwa Wenger atatangaza kuresign at 1200 GMT.
NB- Ignore the typo, ilitakiwa kusomeka to resign rather not to resigned... ESPN ndo wanavyosema.
Goals by Mcha Khamis and the back in form, John Bocco secured a 2-1 win for Azam over Simba in a Vodacom Premier League match at National Stadium on Sunday afternoon.
The victory stretched Azam's...
Timu ya soka Al Ahly ya Misri imevurushwa kutoka Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kukandikwa mabao 3-2 na Al Ahli Benghazi ya Libya katika mechi ya pili iliyochezwa Cairo-Misri.Katika mechi ya...
Wenger still enjoys the unequivocal backing of Arsenals majority shareholder Stan Kroenke, who is in no doubt the manager will sign a contract that has been on the table for months.
But...
Leo jumanne, Manchester united itakuwa nchini Greece kupambana na vinara wa nchi hiyo Olympiakos Piraeus ambao hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye ligi yao ya kichovu.
Ikumbukwe manchester...
LEo wale wengi walojaribu kuchezea mchezo wa kubashiri matokeo ya mechi mbali mbal,wamejikuta ikila kwao baada ya the blues kupoteza,huku the gunners na Man city wakitoka sare na kuharibu kabisa...
Kwa wale wapenzi wa Arsenal waishio Marekani, Canada labda na Mexico Arsenal watazuru Marekani Summer hii. Watacheza mechi dhidi ya New York Red bulls July 26 kama sikosei ndani ya Red bulls...
Siogopi Liverpool.,ila nina mashaka san Man city kuchukua ubingwa.
Imagine tupo mbele mechi mbili kwa Man city.
I wish Man city wapoteze mechi kadhaa ila wanavyokuja napata mashaka.
Ni jumatatu iliyo pita chelsea iliivunja rekodi ya Man City ya kutokufungwa katika uwanja wake wa Etihad na kuacha gumzo kubwa England baada ya timu ya Man City kufungwa mara mbili na Chelsea...
Wanabodi Habari za weekend.
Naomba kuchukua Nafasi hii kuomba mtu yeyote mwenye Link ya kucheck Live gemu ya Man United vs Aston Villa aiweke humu ili tulio mbali na TV tuangalie leo
Natanguliza...
habarini wanamichezo wenzangu!
ikiwa ligi mbalimbali duniani zinaelekea ukingoni nimependa kushea nanyi baadhi ya mambo ninayo penda yatokee
napenda AZAM achukue ubingwa VPL, napenda ATLETICO...
Wenger out? The leading candidates to replace the Arsenal manager, if he goes
By Eurosport | Pitchside Europe March 25 2014
The terrifying scale of Arsenal's collapse against Chelsea at the...
Timu zote ninazozishabikia hoi mwaka huu!
Taifa Stars - Kama kawaida niishazoea
Simba SC - Sijui kwa nini Yanga wako bize kutuchukulia wachezaji. Bora wamchukue na Rage kabisa kwa kuwa ni...
Mpira unanogeshwa na vitu 2 tu:kwanza ni umahiri wa teams zinazochuana dimbani na pili ni umahiri wa refa wa katikati na ma linesmen wake!Siku hizi marefa wetu ni hovyo hovyo tu!
Mimi naanza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.