Simba haitaki mchezo.
Uongozi wa timu ya Sima umepanga kwenda China kufuata nyasi bandia zenye gharama ya Shs. milioni 160 kwa ajili ya kuzitandaza kwenye uwanja wao mpya watakaoutumia kwa ajili...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tumepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi zake ili...
Leo ndio kivumbi na jasho mechi kali ya watani wa jadi wa jiji la Manchester,mechi itahusisha Manchester United (Red devils) na Manchester City (The citizens).
Ni mechi inayitarajiwa kuwa ngumu...
Barcelona line up Rodgers as next boss
Barcelona are preparing to offer Liverpool boss Brendan Rodgers the chance to replace Gerardo Martino this summer.
Eurosport – 16/03/2014 : 10 hours...
Raila, Lupita, Adongo to lead Boston marathon fete
From left: Former Prime Minister Raila Odinga, Lupita Nyong'o and Daniel Adongo. Photos/FILE
By CHRIS WAMALWA
In Summary
The Boston...
Ni ile ile timu ambayo mwenyekiti wao aliwaita mambumbumbu mashabiki.
Jana baada ya kupakatwa,wachezaji wakaangalia jukwaani wakaona hamna kiti kilichovunjwa
Wakasema haiwezekani, Ngoja...
Ni kwa nin team za majesh e.g Rhino, Prison etc zinakosa mapenz toka mikoan zilipo? Tunakumbuka jins prison ilivyokuwa ikifanya vyema kipind cha nyuma lakin jesh walipoonesha kuitenga team na...
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC, jana walizidi kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo, baada ya kuwalazimisha mabingwa watetezi Yanga sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
Improved Kenya crush in plate semis but move up to seventh in IRB series standings Posted by: The People in Sports Fanatique March 24, 2014
Kenya have...
BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks
Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio...
Habari wana-sport wa JF,
Leo muda wa saa 14:00 kutakuwa na draw ya robo fainali klabu bingwa ulaya ambapo,draw hizo zitafanyika Nyon,Switzerland.
Timu zilizofanikiwa kuingia katika hatua hii...
Katika hotuba ya kulihutubia bunge maalum la katiba,rais JK amesema moja ya mambo ambayo Zanzibar inaruhusiwa ni kijiunga na taasisi na mashirika mbalimbali ya Kimataifa,kwa maana hiyo Zanzibar...
Wadau wenye uelewa na jiografia hasa namna ya ku-calculate time naomba wanisaidie kuhusu masaa haya yaliyopo kwenye ratiba ya kombe la dunia 2014 Brazil . Kwa hapa bongo inakuwa saa ngapi? Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.