Kabla hata ya kuanza kwa mtanange wa soka wa kinyang'anyiro cha klabu bingwa Barani Afrika, uliozikutanisha timu za Yanga (Tanzania) na Al-Alhly (Misri) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
NI KUTOKANAa NA TABIA YA KIJINGA YA MASHABIKI KUHARIBU VITI. PIA WATAANGALIA ADHABU YA TIMU KUCHEZA BILA MASHABIKI KAMA ITAFAA.
TFF WAMEKUBALI KULIPA FIDIA YA UHARIBIFU ULIOTOKEA KATIKA MECHI YA...
Baada ya kufanya vibaya kwenye VPL wazee wa klabu ya mikia walisema watasoma al badil ili wanaohujumu timu yao.Baada ya kubatisha ushindi wa 3_2 dhidi ya Ruvu sijasikia tena ishu hiyo.Sasa jamani...
Hongera Tanzania kwa kushinda mechi hii na sasa Tanzanian Team qualifies for 2016 Division Five and 3rd place playoff
Tanzania 138 (44.1 ov)
Cayman Islands 126 (39.1 ov)
Match Results
Tanzania...
Mtandao wa Goal.com,umetoa majina ya wachezaji tajiri duniani kwa mwaka 2014.Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno,mshindi wa tuzo za mwanasoka bora wa dunia mara mbili...
Sisi wakazi wa morogoro tunawapongeza kwa dhati Abood media kwa kutuonyesha live mechi ya yanga na alahly.tunawashukuru sana kwa kuwa tulibaki majumbani na kuangalia mechi na familia zetu.
Baada ya mechi ya jana kati ya Yanga na Al Ahyl..ambayo imehitimisha ndoto za Yanga kwenye michuano hii mikubwa barani Afrika, sasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari. Kejeli za 'Mtani jembe'...
Klabu Ya Soka Ya Yanga Imefuzu Hatua Nyingine Ya Ligi Ya Mabingwa Afrika Baada Ya Kuwafunga Wapinzani Wao Bingwa Mtetezi Al Ahly Ya Misri Kwa Mabao 3 Kwa 0. Shukran Ziwaendee Sana Wafungaji wa...
Klabu ya soka ya Hispania Barcelona, imezindua mpango wa kutoa mafunzo kwa makocha wa Somalia.
Klabu ya Barcelona ni miongoni mwa vilabu mashuhuri duniani
Mpango huo ujulikanao kama Futbal Net...
Yanga imetolewa kwa penalt na bingwa mtetezi Al-Ahly ya Misri katika mazingira ambayo wenyewe walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuvuka,kwasababu zifuatazo:-
1. Binafsi ninaamini ki'viwango Yanga...
Kwa kawaida tumezoea kusikia Yanga kwa kushirikiana na magazeti na baadhi ya watangazaji wa redio wakicheza mpira kwa umakini sana na ufundi wa hali ya juu magazetini na redioni.Sasa nauliza...
Kama utamaduni wetu ulivyo tusisahau kwenda kuwapokea mashujaa wetu uwanja wa ndege wa kimataifa toka misri walipokula kichapo. Tuchukue tena ubingwa ili mwakani tukutane nao tena watuchezeshe...
Usiku wa leo
uwanja wa airport wameshuhudia vituko jinsi wachezaji
kaseja/juma,dida na bathez walivyokula mchongo kuisaliti yanga huko misri
wakati wachezaji wote wa yanga wakiwa wamesha check...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.