Mwanzo mwisho
akuna kulala tuko nyuma yenu uongozi ,wachezaji na wabeba mabegi wotee wa yanga
kwa niaba ya uongozi wa mashabiki wa yanga hapa jamvini
nawatakia kila la kheri muwafunge wamisri...
Kila nikimwona yaya toure nahisi kama namuona patrick viera enzi zake.. Unafikiri yupi bora katika katika ubora wake kati ya hawa waafrika magharibi (toure wa ivory coast na viera mzaliwa wa dakar...
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajiwa kushuka uwanjani kesho kuivaa Al Ahly nchini Misri, wapenzi na mashabiki wa timu hiyo wa jijini Dar es Salaam, wapo katika mikakati kabambe ya kuiandalia...
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA...
yanga imetolewa rasmi kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuchapwa penati 4 kwa 3 dhidi ya Alhaly. walifikia penati mara baada ya alhaly kuifunga yanga goli 1 katika muda wa dakika 90. hivyo...
Habari gani ndugu zangu?
Niliacha kubet(Kamari) mwaka mmoja uliopita baada ya kuchezea "Punch" za kutosha nikawa najifunza HORARY ASTROLOGY IN FOOTBALLKwa ufupi-Ni Utabiri wa vitu mbalimbali kwa...
Mimi sio msemaji wa Simba SC lakini kwa hali yoyote sio rahisi kwa wapenzi wa Simba kuiombea dua jema Yanga katika mtinange wake huko Cairo dhidi ya Waarabu.... sababu kubwa ni kwamba hata kama...
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wametua salama jijini hapa.
Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Yanga...
Eto'o anafunga bao maridhawa nakufanya Chelsea kuongoza anakimbia kwenye kibendera na kukishika na kisha kwa mwendo wa kizee ana jikongoja taratiiiibu
hii ni kufuatia wanaoponda kuhusu umri wake...
cjui ni shetani au nini jamani????
ingawa yanga si timu yangu wala
cjawahi kuishabikia hata cku moja
ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo
naomba mungu apitishe mbali cause waarabu...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini
ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba
kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo
vinavyoashiria ushirikina uwanjani.
Simba ilifanya vitendo...
" WE DONT SELL PRODUCTS WE SELL QUALITY"
1:We do sale Pure Aluminium Handrail and Balcon from Turkey.
2:Aluminium window, Door and Office Partition(Dubai).
3:Automatic Rolling...
Kocha Mkuu wa Manchester United, David Moyes amewaandikia barua mashabiki wa klabu hiyo, akiwashukuru kwa kumuunga mkono katika kipindi hiki kigumu.
Moyes ambaye timu yake inapepesuka kwenye...
Wadau,
Habari nilizo zinasa kutoka vyanzo vya uhakika ni kwamba timu ya Yanga kwa sasa wako barabarani wakisafiri kutoka Cairo kuelekea Alexandria ambako ndiko mechi kati ya hizi timu mbili...
Kenya has received over six nominations With more than six Kenyans having been nominated for the prestigious continental awards, expectations are high that local film makers will pull yet...
Uongozi wa Young Africans unawaomba wapenzi, wanachama na wadau wa soka kuacha kusoma habari za blog ya Bin Zubeiry kutokana na kuandika taarifa zisizokuwa na ukweli huku lengo lake kubwa likiwa...
Birmingham City chief Carson Yeung has been handed a six-year prison sentence after being found guilty of five counts of money-laundering in Hong Kong.
Yeung had denied the charges of laundering...
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere atakuwa njee ya dimba baada ya kupata majuruhi ya mguu na kusababisha mfupa wa mguu wake wa kushoto kupata ufa.
Wilshere alipatwa na masaibu hayo baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.