Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Real wanaongoza 1 goli limefungwa na benzema,
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1:berko 2.shamte 3,issa rashidi 4.owino 5.musoti 6.mkude 7.chanongo 8.ndemla 9.tambwe 10.kiemba 11.messi haya, tuendelee mliopo uwanjan na tunaosikiliza. HALF TIME SIMBA 2, RUVU 0 FULL TIME...
1 Reactions
146 Replies
10K Views
jamani nmefukuzwa kwenye majukwaa mengine nilikuwa nawauliza mambo ya kubet wamenitimua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jana nilipiga hela kweli
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Baada ya mechi dhidi ya Olympiakos Robin Van Persie alikaririwa akisema wachezaji wenzie wanamkaba - wanacheza kwenye maeneo ambayo yeye pia hucheza jambo linalopelekea kutokucheza kwenye kiwango...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya kuonja kiti cha nafasi ya sita kwa muda,Man U imerejea kwenye kiti chake cha msimu huu cha nafasi ya saba.Hii inafuatia ushindi wa bao 1-0 wa Everton walioupata dhidi ya West Ham...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
<<= SABABU 10 KWA NINI YANGA ITAFUNGWA GOLI NYINGI NA AL AHLY=>> 1. Kitendo cha Mahakama kuamuru warejeshe jengo kwa Mzee Juma Mwambelo kimewatia stress hawajui wataenda wapi. 2. Yanga imezoea...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tumepokea maswali na simu nyingi sana zikiuliza kama Azam TV itaonesha mechi kati ya Yanga na Al Ahal leo, jibu ni kwamba HAPANA... ukweli ni kwamba tulipokea maombi toka kwa agent aliyenunua...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Azam TV kuanza kuonyesha mechi za robo fainali za UEFA champions league from next month...hayo yamethibitishwa na mchambuzi nguli ws soccer hapa bongo kwenye account yake ya Facebook....kwa speed...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Hongera kijana wetu ila tungelipenda tukuone ukirusha mpira na kuidaka golini kwako kama siyo BLOCK. Nimeingia Ukurasa wenu na kuikuta habari hii. Safi sana na endelea na moyo huo..... Thabeet...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Liverpool FC ya Uingereza imeingia rasmi katika mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu ya Nchini humo baada ya kujikita katika nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea, katika msimamo wa ligi. Hiyo inafuatia...
0 Reactions
2 Replies
952 Views
kwa mtazamo wangu kilichosababisha timu ya arsenal kushindwa kupata matokeo mazuri leo ni kutokumuanzisha alex chamberlein toka kipindi cha kwanza. Sababu ukicheki gemu utaona muda mwingi arsenal...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Nikiwa mtanzania na mzalendo, nawaomba watanzania wenzangu tuiombee Yanga ktk mchezo wao leo washinde dhidi ya waarabu.Mungu ibariki Tanzania!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninaangalia habari za michezo katika lunnga ya itv muda huu katika pambano la yanga na waarabu,mashabiki wa yanga wamemlaki kwa vifijo mhe membe huku pembeni yake akiwa na mwenyekiti wa yanga...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Our artistes are still maintaining the lead in painting our flag all over the world. Najivunia jameni nchi yangu, ma-haters mpo. Here goes our very own Juliani.... Juliani Nominated Alongside...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nile Sports Live TV | Egyptian Television online | Live from Cairo
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau ni tv gani hapa tz itaonyesha iyo mech ya yanga na al ahly
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Jose Mourinho wants Fulham to stay in Premier League Jose Mourinho would accept defeat at Fulham on Saturday if it helped his London rivals avoid relegation, so long as Chelsea go on to win...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Tupia utabili wako! selfish
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom