Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Waarabu wanachinjwa leo
0 Reactions
4 Replies
975 Views
Hawa CAF wanawabeba sana waarabu kuanza ugenini, sijawahi sikia mechi tuliyo cheza na waarabu tukaanzia kwao wakaja kumalizia hapa nyumbani, mecho zote wao ndo wanaanza ugenini kisha wanamalizia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
It is here at long last. Al Ahly are already in town. For Yanga fans, it is a deja vu moment as they get to play their North African tormentors yet again like 2009 when they met at the same stage...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamal malinzi amemwambia kocha wa timu ya Taifa aondoke. Amemwambia afungashe vilago sababu hajafikimiza malengo kama mkataba wake unavyo eleza. Malinzi ameamua kuingia gharama ya kumlipa hela ya...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Habari za muda huu. Kwa yeyote ambae ambae anajua vituo vya kuuzia tiketi kwa mechi hiyo ya jumamosi naomba anijuze.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana JF, leo nimekuja na Mjadala kidogo, weka siasa na unazi pembeni, Arsenal ya 2003 iliyochukua EPL bila kufungwa na Man Utd ya 1999 iliyochuku vikombe vitatu kwa msimu mmoja yaani EPL...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mh Jamal Malinzi naamin hauko kwenye hili kundi tkt kadhaa za mechi ya yanga kesho zinaendlea kuchapishwa pale billcanas pembeni ya b point kuna uchochoro wa kuingia ofic za wat pia ukiwa njia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma gazeti fulani, kama haya ni kweli tff inabidi ichunguze hili tukio maana sio fair huu ni uhuni katika soka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwamliopo MWENGE na maeneo kalibu na MWENGE fikeni sheli ya puma hapo mataa ya MWENGE kwani kuna watu msululu kutoka ubungo wanakuja kununua MWENGE . mkifika hapo mtaona kuna HAICE nyeupe imepaki...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Timu ya Yanga imefanikiwa kusajiri wachezaji muhimu kutoka simba na usajiri ukaleta malumbano lakini mwisho wa siku Yanga wakatoka kifua mbele na kuonekana wamefata taratibu zote na Simba wakabaki...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nimesikia mavi kwa gafla kwa sabbabu ilikuwa story inaendelea redioni ikabidi niyabane. Kipindi cha michezo redio one wametangaza kuna tiketi special za 100,000 mechi ya Yanga dhidi ya Al...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbio za mwaka jana zilikuwa na dosari nyingi sana, hasakatika kurekodi muda na utoaji wa medali. Palikuwa na vurugu kubwa sana sehemu ya kugawa medali kwa walewanaostahili. Wahusika, badala ya...
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Wakulu kutokana na matokea ya game zilizochezwa Man City na Arsenal Hawa tayari watakua wameaga mashindano ya Uefa ata km watakwenda kucheza Spain na Germany na kushinda! Lkn timu km Barc na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye Fernando Torres aliifungia Chelsea bao dhidi ya Garatasaray ya Uturuki katika mchezo ulioisha kwa sare ya 1-1.Hilo ni goli pekee kwa timu zote nne za Uingereza. Tatu zilizobakia: Man...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Bingwa wa zamani ya ngumi wa Jumuiya ya Madola kwenye uzani wa Bantam, Michael Yombayomba amemwomba Rais Jakaya Kikwete amrudishe kazini. Yombayomba bondia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Statistics show Liverpool's Daniel Sturridge is real deal as a striker The man who has a better league goalscoring rate than his team-mate Luis Suárez could boost England's World Cup hopes...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ligi ya mabingwa ikiwa katika hatua ya 16 bora tumeshuhudia timu tatu za Uingereza zikiwa zimepoteza michezo yao ya kwanza kabla ya marudio. Arsenal imepoteza dhidi Bayern...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
habari zenu wakuu tukiwa kama wadau wa michezo,bila kujali itikadi zetu za vilabu tunavyovishangillia wote tuna uwezo wa kuchambua kuungallia mpira na kila mtu kuwa na maono yake katika...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Mchezo wa hatua ya Pili wa Klabu Bingwa Afrika, kati ya Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC na Mabingwa wa Afrika, na Misri, Al Ahly, utafanyika jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi. Wamisri...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Timu zipo nyingi duniani, ila wewe unafikiri ipi ndio inaongoza kwa ubora wa soka lake na mashabiki wake. Mi binafsi naona ni klabu iliyopo england jina lake linaanza na herufi A
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Back
Top Bottom