Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Asiye sikia la mkuu huvunjika mguu , RUVU SHOOTING wakata rufaa TFF yanga kumchezesha OKWI
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Simba ,Ismail Aden Rage anayo kesi ya kujibu kutokana na uongozi wake kuingia deals anuwai ambazo zimeipelekea club ya Simba kupoteza assets zake.Nitaorodhesha kwa uchache; Sakata...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
draw ya euro 2016 inafanyika live sasa hivi. Jumla ya mataifa 53 ya ulaya yatashiriki katika draw ambayo itatoa mataifa 24 yatakayocheza fainal mwaka 2016. Fuatilia kupitia goal.com
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Nimesikia kupitia radio kuwa kwenye magazeti ya leo upande wa michezo akinukuliwa Charles B. Mkwasa akisema upelelezi wake huko Misri kuhusu Al Ahly ni eti wacheze wakiwa na mashabiki wao ama la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufuatia mchakato unaoendelea wa kufanyia marekebisho katiba ya Simba,miongoni mwa mambo yanayosemekana yatafanyiwa marekebisho ni jina la klabu ya Simba sc kuwa Dar es salaam United...je wewe...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Habar wana jf, kwa walio uwanjani tupeane matokeo baina ya coast na mcc
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ikijiandaa kuwakabili waarabu, mabingwa watetezi wa vpl, leo wanashuka uwanja wa taifa kutafuta point muihimu za kutetea kombe lao. cc @wadau HT;RUVU 0-4 YANGA. FT; RUVU 0- 7 YANGA.
0 Reactions
246 Replies
17K Views
Timu za ligi ya EPL arsenal na man city zilikuwa katika kiwango kibovu kiasi kwamba hawana ushindani wanapokutana na vigogo wa la liga na bundesliga,ndo maana hata kwenye FIFPRO 11 hakuna hata...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Ndugu zangu wana jamii na wapenda michezo hususani wakazi wa kilimanjaro,nimeona leo nimtaje mtu ambaye amekua akirudisha soka la kilimanjaro na viunga vyake,nahuyu sio mwingine bali ni shabani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni kwa mjadala hasa gunners wenzangu ila kwa upande wangu source kuu ya matatizo ni kocha wetu Arsene wenger.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokana na wizi wa kipuuzi uliotokea mechi zilizochezwa uwanja wa sokoine meneja wa uwanja ndg. Modest ameomba TFF kumwondoa msimamizi wa Mbeya na kuleta mwingne akiamini aliyepo anashirikiana na...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Na Nicodemus Jonas KOCHA Mkuu wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic, amesema iwapo ataendelea kukinoa kikosi hicho msimu ujao, ndoto ya usajili wake ni kuchota nyota kutoka Ligi Kuu ya Kenya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni wadau na mashabiki wa Arsenal FC, nina imani hata nyinyi mlielewa nini kingetokea lakini baadhi yenu mliendelea kujipa moyo. Umiliki wa 70% kwa Bayern na 30% kwa Arsenal kwa kweli...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Juzi juzi nimeanza kufuatilia kwa ukaribu tabiri (predictions) za Mark Lawro na Paul Merson. Hawa ni magwiji wawili waliobobea katika kutabiri matokeo ya mechi za ligi ya England (EPL, FA cup...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani waungwana nilikuwa nasoma habari za michezo kwenye blog ya UEFA na nikakuta na habari ambayo imeandikwa kuwa bodi ya uefa kufanyia uchunguzi madai ya kocha mkuu wa man city jambo moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mechi inaendelea baina ya wapinzani wa Yanga mabingwa watetezi na wa Club bingwa dhidi ya mabingwa watetezi wa Confederation Cup timu ya CS Sfaxien, hadi sasa El Ahly inaongoza kwa goli moja.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF, mimi nasikitishwa sana na tabia inayojenga mizizi hii channel ten ya kutopangilia vipindi vyao na kusababisha kutuonyesha mechi recorded wakati wao wana license ya kutuonyesha watz live...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
habari JF wote na wapenda Man city woooooooooooote....Kweli Man City wananifanya nijisikie fresh each day they play? Sidhani kama wana mpinzani......!
0 Reactions
171 Replies
11K Views
Wapenzi wajf kalibuni tena katika ukurasa hu. Hivi unazijua sheria za ku bet katika soka...... 1. Usi bet kama mshabiki wa timu flani labda kama mshabiki wa arsenal,liver,man u,juve,barc au...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom