Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja...
1 Reactions
8 Replies
230 Views
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE? KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu? Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
3 Reactions
43 Replies
827 Views
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya...
5 Reactions
38 Replies
872 Views
Najua nitachukiwa na kubishiwa, ila Kidarubini bado uwezo wa Simba SC ni mdogo kuulinganisha na Yanga SC iliyotimia.
1 Reactions
20 Replies
637 Views
Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi...
9 Reactions
82 Replies
2K Views
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi...
3 Reactions
13 Replies
462 Views
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake...
1 Reactions
29 Replies
721 Views
Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu Shida kichwani ni nyeto tu anawaza
7 Reactions
42 Replies
905 Views
Anaandika yusuph mkule "Nimewatazama Simba Leo dhidi ya TMA mpaka mwisho Kwa umakini sana nmegundua jambo. Pamoja na ushindi wa 3_0 wa simba, kweli walistahili kuikimbia derby ya machi 8 na...
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa...
1 Reactions
4 Replies
245 Views
Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
0 Reactions
54 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya...
1 Reactions
16 Replies
637 Views
The general odds in betting platforms are set by a combination of algorithms, data analysis, and human expertise. Here's a breakdown of how this process typically works: 1. Oddsmakers...
3 Reactions
4 Replies
132 Views
Tukumbuke tarehe March 10, 2025. Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao...
5 Reactions
51 Replies
1K Views
Wengi tumejikita kwenye habari za kanuni na mabaunsa ila ngoja nipanue kidogo mjadala wa kwa nini derby ya Simba na Yanga haikuchezwa tarehe 08/03/2025. Msichukulie huu uzi serious sanaaana ila...
3 Reactions
13 Replies
472 Views
Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed...
1 Reactions
8 Replies
481 Views
Back
Top Bottom