Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku. Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
"Naomba nitumie nafasi hii kuwapongeza coastal union Kwa kukubali kucheza na Yanga Kwa maana Kuna timu ni kubwa jinga ilikula Kona" WAGOSI wa Kaya msijilaumu sana kwa hichi kinachowatokea maana...
3 Reactions
28 Replies
824 Views
Leo nimemkumbuka winga hatari wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania “Twiga stars” Esta Chabruma. Huyu dada alikuwa na uwezo mkubwa sana hasa akitokea pembeni, angeweza kufunga magoli...
5 Reactions
7 Replies
213 Views
Umefika muda hizi timu kukubali kuwa mchezo wa soka sio maonesho ya mazingaombwe. Watu tunapenda soka sio kuzidiana nguvu za kichawi. Hivi vizee vinavyotukuza uchawi tuvipige marufuku katika...
1 Reactions
2 Replies
118 Views
Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa...
1 Reactions
22 Replies
917 Views
Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201 Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000...
25 Reactions
282 Replies
5K Views
Malipo ni hapa hapa. Haya ni Matokeo ya Uhuni Mlioufanya Tarehe 8 March hakuna tena Kwa Mkapa hatoki Mtu. Nendeni Burundi huko Mkacheze na Mashabiki Wasiozidi hata Mia moja Kudadadeki.
1 Reactions
13 Replies
500 Views
Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan...
6 Reactions
127 Replies
4K Views
Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi...
20 Reactions
97 Replies
2K Views
Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga) Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kuwa kampuni ya kimataifa ya Umbro ni moja ya wazabuni walioomba tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi ya klabu ya Simba Sc Zingine ni kampuni kutoka China, Sandaland Theonly...
4 Reactions
19 Replies
950 Views
Nimemsikia na anajiaminisha sana kwamba Simba hawakupeleka timu hivyo wspinzani wao walistahili ushindi wa mezani. Nahisi kumbe elimu haina msaada kabisa kwa watu wengi. Au ni mahaba na timu yake...
3 Reactions
18 Replies
347 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya...
3 Reactions
28 Replies
829 Views
Mmechangishwa hela eti kwa ajili ya "Kucheza mechi" (kuwapa waganga hela ili waroge timu ishinde). Haya sasa kiko wapi? Waganga hawakujua kama mechi it's hairishwa? 🤣🤣🤣🤣 Nakumbuka kuna mechi...
2 Reactions
5 Replies
183 Views
Kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha bodi ya Ligi, hizi ndizo sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo wa Ligi kuu kuahirishwa. KANUNI YA 9 KUAHIRISHA MCHEZO Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu nimewaza Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke? Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale...
4 Reactions
33 Replies
486 Views
Madaktari wa Maradona washtakiwa kwa kifo chake Washtakiwa wanasema Maradona alikataa matibabu zaidi na alipaswa kukaa hospitalini kwa muda mrefu baada ya upasuaji wake. Muhtasari Waendesha...
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Kale kajamaa kanajiita kagwiji ka kuchamba kama vile kuchamba ni tabia ya mwanaume! Tumepata taarifa zake za ndaani kanamlilia mdada anayejulikana kama silver ikitafsiriwa kwa kiswahili cha...
5 Reactions
26 Replies
893 Views
Back
Top Bottom