Naona kabisa bodi ya ligi imetengeneza tatizo juu ya tatizo,,bodi ya ligi ilitakiwa isimamie Sheria na kanuni walizoziweka zinazoendesha ligi na sio busara!
Kanuni ziko wazi kwa timu inayogomea...
Presidency ni kitu kibaya sana, inategemea namna utakavyoishughulikia la sivyo utaharibikiwa. Mabinti zako wanasubiri kuona namna utakavyolishughulikia swala la dada yao aliyepata mimba akiwa...
Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia...
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya...
Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine.
Kwa mabilioni...
Nilitegemea kwa yale mabilioni yaliyomwagwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja wa Mkapa pamoja na kuufungia usitumike mpaka sasa japo pamoja na marekebisho madogo kwenye vyumba vya kubadilishia...
Baada ya kutazama mchezo wa Azam hapo jana, Binafsi sijaona mabadiliko ya maana katika uwanja wa Mkapa licha ya mabilioni yaliyomwagwa, kufungiwa kutumika mara kwa mara na muda mrefu kupita tangu...
SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30...
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi...
Watanzania wanakabwa kulipa kodi kila sehemu kodi, Ukigeuka kushoto kodi, Kulia kodi mpaka vichwa vinawauma!
Wamam wajane, masikini waliofutiwa bima ya afya kwa watoto wao, Walionyimwa madawati...
Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC
Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500
Toka jana hao Vijana wanalia
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa ametoa Ufafanuzi Taarifa ya CAF Kuufungia Uwanja wa Mkapa, Kuhusu Derby Asema Waulizeni TFF ambapo amesema ukaguzi ulipokuwa ukifanyika nyasi zilikuwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Wakaguzi wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) waliukagua Uwanja wa Mkapa, wiki...
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani
Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika...
Picha ikimuonesha mshindi Peter Nyamayo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol, Amsterdam nchini Uholanzi.
Pamoja naye yupo Rajab Chingongo ambaye pia ni mshindi wa shindano la...
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya...
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani.
Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.