Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona.
Ombeeni Match...
Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa
Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali...
Mjitahidii kulinda miguuyenu
Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI
Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa
Otherwise all dbest
Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma
YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia
uwanjani
Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI
Muwe...
BODI hii imejaa wahuni sana sana sijui tunaelekea wapi. Hawa jamaa ukisoma barua zao wanasema wamehairisha kwa sababu ya uchunguzi.
Hapohapo wanasema watatangaza siku nyingine ya marudiano.
Kama...
Tusichoshane sana hapa bali kwa anayetaka Kuusikia huu UKWELI MCHUNGU wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Azam FC Zaka Za Kazi aende Wasafi Fm na atamsikia kwani ameelezea Kiundani kabisa...
Kwa kweli Mimi ni mwanasimba kindaki ndaki lakini nimesikitishwa na timu yangu kuja usiku wa manane kuja kufanya mazoezi ya mwisho huku ikaza busi la wazee ( vigagua) idadi inayozidi wachezaji...
Wakuu,
Hivi tukisema kwamba CCM wameanza kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu nitakuwa nimekosea.
Naanza kuamini kuna watu ambao wanajifanyia tu vitu wakidhani wanamsaidia Rais lakini kumbe...
Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo...
WATANZANIA
Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya
Basi NENDEN kwenye press
Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu
Hakuna aliefurahia hata mmojaa
Tulitarajia pamoja na...
Baada ya Mashabiki wengi wa soka kuumizwa na usitishwaji wa derby wamekuwa wakitaka kujua, Je hata kama simba angekuwa alikosewa kikanuni, tukio hilo linampa fursa ya kugomea mchezo! JIBU NI...
Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa.
Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika...
Habari zenu wadau wa michezo.
Kwa ukweli nimeghadhibika na kauli ya afisa habari wa timu yangu ya SIMBA sc kwa kupost katika mtandao wa Instagram juu ya hii kadhia iliyotokea jana na anaonekana...
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya...
Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni...
Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu.
Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye...
Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.