Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?. Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa...
2 Reactions
21 Replies
826 Views
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ili saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya...
1 Reactions
1 Replies
130 Views
Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama...
1 Reactions
3 Replies
151 Views
  • Redirect
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua...
4 Reactions
Replies
Views
Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka...
3 Reactions
12 Replies
362 Views
Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
1 Reactions
0 Replies
31 Views
  • Redirect
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeufungia kwa muda Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutokana na eneo la kuchezea (pitch) kuendelea kupungua ubora wake. CAF imeelekeza eneo...
0 Reactions
Replies
Views
Nikikumbuka kipindi hicho nikiwa comandoo wa Simba namiss mambo mengi,kesho nitawaletea mfululizo wa visa nilivyokutana navyo enzi hizo
0 Reactions
12 Replies
563 Views
Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea...
3 Reactions
12 Replies
301 Views
Sasa Baada ya Kuona Mikiki mikiki ya kukimbiana na kuogopana baina ya simba na yanga, ikichagizwa na mambo ya kishirikina na msururu wa majeruhi kwa timu ya Simba, hivyo kulingana na siasa za...
6 Reactions
15 Replies
585 Views
Klabu ya Al Ahly ya Nchini Misri imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek inayotarajiwa kuchezwa leo ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua Mwamuzi wa...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Tumeshinda ni jambo jema lakini timu ilivokua inacheza inafikirisha kwakweli binafsi niliyoyaona 1 Beki zetu za kati bado naona kuna ka hali Fulani kanatia wasiwasi hiyo tar 8 sijui labda kwa...
2 Reactions
7 Replies
533 Views
Leo saa 10:00 jioni, Simba SC dimba la KMC Complex wanawakaribisha TMA Stars. Updates... Mechi imeaanza Dakika ya 14 milango bando ni migumu Dakika ya 16 Valentino Nouma anaitanguliza Simba...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Kwanini Yanga walilazimisha kwenda uwanjani hata baada ya mechi kuahirishwa hiyo tarehe 8 Machi 2025? Ilikuwa ni kwenda kuondoka na majini na uchawi wao waliouacha uwanjani. Hakukuwa na namna...
2 Reactions
9 Replies
351 Views
Usilete matusi Yako hapa, Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF. Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv...
11 Reactions
161 Replies
4K Views
Nimekua nikisoma kwenye mitandao kuwa Simba iligomea mechi mimi nakataa na sababu zangu ni kwamba mechi haikuchezwa. Hili mgomo uhalalishwe ni pale bodi ya ligi ingeendelea na msimamo wake wa...
3 Reactions
22 Replies
470 Views
Moderator, Paw 255Fixer , kichwa Cha habari kisomeke Al Ahly wagomea mechi ya dabi dhidi ya Zamalek. Klabu ya Al Ahly imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek ikisisitiza kuwa...
0 Reactions
9 Replies
338 Views
Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika...
5 Reactions
128 Replies
5K Views
Back
Top Bottom