Nani kama mama,
Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500...
Nimefuatilia sakata la derby ya Simba na Yanga Tanzania 08.03. 2025, itoshe kusema Bodi ya ligi mmehujumu ligi kuu ya mtanzania na mnapaswa kuwajibika, Simba na Yanga mnapaswa kuwajibika...
Kwenye ligi Arsenal kashaachwa alama 15 na vinara Liverpool.
Kwenye Uefa wapo hatua ya 16 bora huku wakiwa na uongozi wa magoli 7 katika mchezo wa kwanza.
Naambiwa akivuka hapo atakutana na...
Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira...
Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?
Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025...
Ni klabu ya soka yenye makazi yake katika mji Ndola na inashiriki katika ligi kuu nchini humo Zambian premier league.
Klabu ilianzishwa mnamo January 1, 1974 na klabu hii imetumia mda mwingi kuwa...
Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari.
Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata...
Naomba mwenye uelewa juu ya ukweli kuhusu hii kampuni ya F.I.C inahusika na ubashiri wa correct score ila ikitokea mkeka wako ukichanika wanakurudishia pesa zako zote...
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo...
Kwa jinsi mwamba anavyopambana kwa maslahi ya Simba, ukomavu na uzoefu wake. Na kwa kuwa Sasa tuna CEO wa mpito tu Nadhani hivyo viatu vinamtosha Jemedari.
Indirectly amekuwa ndio mshauri mkuu...
1. Okra anatudai
2. Mkude anataka kulianzisha kwa Deni lake
3. Baleke anadai
4. TFF kuna Kesi Kenda (9) za Wao kudaiwa na Wachezaji
5. Kocha Mgeni na Kocha Mzawa wanadai
6. Waganga wetu hasa...
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya.
Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za...
Kuna viongozi wa Serikali wanaiiharibu sana hii team kiasi kwamba wote tunaonekana hatuna akili. Wote tunaonekana vilaza. Tufanyeni mambo kisomi. Huu upumbavu hautatusaidia hata kidogo. Ni mambo...
Hili ni onyo dhidi ya TFF na bodi ya League.
Tunajua mnambembeleza Eng. Hersi akubali mechi nyingine ambayo hadi sasa mmeshindwa kutoa kauli tokana na tempo ya watu kuwa juu Kwa uhuni mliofanya...
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo...
Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini.
Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu
Wakiona derby isiharibu shughuli ya...
Mbona kama vile kuna naona hapa ilipangwa long strategy na Simba.
1. [Kama ni kweli] Simba hawakuomba kutumia Uwanja, walifanya kusudi na mtego.
2. Simba wasusie Match ya Tar 8.
3. Bodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.