"Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar.
Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi...
Hapo vip!!
Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi.
Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha...
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa...
Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka.
mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa...
Haiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua...
Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru.
Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani.
Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji...
Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi
Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
Mnatulaumu bure sisi Makomandoo wa Yanga. Hakukuwa na lojiki yeyote kuwaruhusu Simba waingie uwanjani wakafanye mazoezi gizani. Wao walikuwa hawajatoa taarifa kwa mamlaka ya uwanja ili uwanja...
Prince Dube ni straiker bora sikatai, ubora wake huo ndio uliwavutia mabosi wa YOUNG AFRICANS SC kumleta Jangwani, kongole kwa Eng. Hersi Saidi na mfadhiri GSM.
Wanayanga walikuwa tuna matumaini...
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.
Ni...
Kilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa...
Alfajiri ya Ijumaa chap , kiongozi mkubwa wa SSC anapokea simu kutoka kwa moja ya chawa wake ndani ya Yangakwenye kamati ya ufundi kuwa kuna aina ya Vitimbi na takataka zimefukiwa pande zote...
MOVIE BADO NGUMU SANA
SIMBA
SIMBA hawezi kunyimwa point tatu Kwa sababu hakuenda uwanjani Kwa barua ya bodi ya ligi iliyoghairisha mechi.
Endapo utampa Yanga point 3 Basi elewa Simba atakushtaki...
Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027??
Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa...
Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya...
Kama mchezo unaweza kuahirishwa bila sababu ya msingi, na TPLB wakaona ni sawa, ni hatari kwa ligi yetu
Kwahiyo timu isipokuwa tayari kucheza inajiamulia tuu kuahirisha mchezo kwa visingizo...
Salam wanamichezo.
Tukio la kuahirishwa kwa dabi ya kariakoo halikutokea bahati mbaya ila ilikua "script" na "mamlaka"(sio mamlaka ya soka).
Mechi itapangiwa tarehe nyingine itachezwa bila...
Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Bondia Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.