Hizo kanuni na Sheria mnazobishana zitaishia hapa hapa Jf na huko mtaani.
Ukijua mpira wa Simba na Yanga unaendeshwa na siasa, fitna na uchawi huwezi kupoteza mda wako kujadili undezi kama huu...
Ukweli ni kwamba, kwa nchi ambayo viongozi wake wanawajibika ilitakiwa mpaka mchana wa leo viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wamejiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya jana...
Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu...
Hapo vip!!
Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu.
Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye...
Sioni namna Simba itakavyokubali tena kuendelea kunyanyaswa ili yanga wapate ubingwa.
Yanga hawawezi kucheza mpira kihalali ni lazima watumie mbinu nyingi za hovyo kwa msaada wa vyombo vyote...
baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yanayohusu mpira wa soka duniani.
bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi.
na matokeo yake bodi...
Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu.
Na kudhihirisha ulaghai...
Daah!! Jamani YANGA Wamewafata SIMBA Kwenye Uwanja Wao Wa Mazoezi "Bunju", Wanataka Wachezenao Mechi Huko Huko Kwao Baada ya Kukataa Kucheza Kwa MKAPA [emoji23][emoji119][emoji23][emoji2089]
Huu...
Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni.
Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa...
Uamuzi wa kamati ya uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kuahirisha mchezo namba 184 kati ya Young Africans (Yanga SC) na Simba SC uliokuwa uchezwe tarehe 08...
After several reviews of the last 2 matches, I came to the conclusion that Azam FC has the best squad in the Tanzania NBC Premier League.( team bora sana)
I know people will say Yanga FC has the...
Tottenham Hotspur Football Club [ The Lilywhites ] , commonly referred to as Tottenham (/ˈtɒtənəm/) or Spurs, is a professional football club based in Tottenham, London, England. It competes in...
MAONI YANGU JUU YA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA WATANI WA JADI KATI YA YANGA DHIDI YA SIMBA MAARUFU KAMA KARIAKOO DERBY YA TAR. 8/03/2025
Naanza kwa kuwasalimia wadau na wapenzi wa soka.
Naomba...
Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu
N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea
Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu...
Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU
Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania
Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya...
Kuna watu wanachukulia poa utaratibu na haki iliyopewa timu ngeni kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi siku moja kabla ya mechi.
Wachezaji wanapokuwa wamefanya mazoezi katika uwanja...
Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake...
Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio...
Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa.
Basi ushauri wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.