Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania...
Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni.
Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati...
Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi.
Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla...
Watu wamelipia tiketi za mabasi kutoka mikoani wengine wakiwa na go -and -return ila siku imeharibika
Kuna watu wamepika visheti na maudambu udambu kibao ambayo hayatakiwi kulala (usikute mtu...
Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni
Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua...
BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya...
UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY?
1. Manchester City
Pointi 88
GD 60
Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023
2. Arsenal
Pointi 86
GD...
Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo.
Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa...
Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.
"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza...
Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.
Viongozi...
Ahlan bik
Football ukipenda iite Soccer ni mchezo wa kiungwana sana unaozingatia sheria , kanuni na taratibu zilizowekwa na shirikisho la mpira duniani kwa maana ya FIFA na shirikisho la mpira...
Bodi ya ligi ilipaswa kutulia na kuyajadili malalamiko ya Simba kwa mujibu wa kanuni.
Aidha ingethibitika kuna ukweli Yanga au mashabiki wake wamefanya ndivyo sivyo adhabu stahiki ingetolewa...
KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa
Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯...
Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa...
Please Moderator , Active Paw na wengine msifute wala kuunganisha huu uzi.
Kimsingi wana jangwani jana tulikwazika kwa kukimbiwa na baby wetu wakati tulishapaka mkongo. Wacha tuenjoy na...
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila...
Hakika ukimpa jicho huyu kijana Kuna viungo wengi nusu nusu Bora wako ndani yake control na skills ni nusu ya ZIDANE kuamrisha mchezo ni XAVI dribling skills ni INIESTA mtupu
Huyu kijana kwakweli...
1. Kamati ya ufundi kutoka Kahana kuzuiwa kwenda kufanya kazi yake kiwanjani.
2. Kipa Kamara na Che Malone Kukosekana kwenye mechi kubwa kama Ile.
3. Aziz Ki kumbe hakuwa mgonjwa, atakuwepo.
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.