Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na...
MABAUNSA WA YANGA: TISHIO KWA USALAMA NA HADHI YA SOKA TANZANIA
Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba mabaunsa wa Yanga SC wanaonekana kuwa na mamlaka zaidi ya walinzi wa uwanja na hata Bodi ya...
Tetesi Zinasema Mechi kati ya vigogo hao itachezwa baada mapumziko ya mechi za kimataifa
Na mgeni rasmi inasemekana atakua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani
Tuone...
Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu.
Ni...
FARHAN JR: YANGA WAMEIKKAMATA PABAYA TFF.
.
Ukitulia vyema kabisa ukisoma kwa utuo ile taarifa ya Yanga, kwenye msimamo pale haswa msimamo namba tatu (3) wanasema:
“Kutokana na mfululizo wa...
Kumpa kijana huyu mikoba ya kufundisha Arsenal itakuwa kamari ya kijinga sana kuicheza na nachukua nafasi hii kupinga kabisa njama hizo .
Arteta aliyezaliwa 26/3/1982 hana uzoefu wa maana wala...
Kitendo kilichotokea kuonyesha makomandoo wa yanga wana nguvu kuliko polisi,kiliashiria tishio la usalama kwa mechi hiyo kufanyika tarehe 8.
Bodi ya ligi iliamua kuahirisha mechi baada ya kupata...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa...
Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza.
Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi...
RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada ...
Mimi si mpenzi wa Yanga au Simba, su timu yoyote nchini au nje ya nchi.
Ila ilipofika jana jioni, usiku nikakutana na shabiki mmoja akilalamikia vikali kuahirishwa kwa mechi ya Yanga na Simba...
Kupitia video yao ya leo vijana hawa wametoa wito kwa watanzania kususia mechi zote za timu ya taifa maana TFF inawachezea akili.
Akikazia zaidi, mchokonozi mmoja anayefahamika kama Joseph...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia soka la hapa bongo,ni kama lina kanuni zake tofauti na kanuni za FIFA.
Imekuwa kitu cha kawaida na hata kwa waamuzi kudhani kwa kuwa ngozi nyeusi...
Rais Samia wewe ni Rais wetu sote.
Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo.
Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.