Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo...
Unaweza kujiuliza,unasajili mchezaji unamlipa karibia milioni 600 kwa mwaka,unasajili wachezaji wa kimataifa wengi,halafu huwezi kushinda bila uchawi?!!
Unaamini uchawi lakini unacheza mechi za...
Shida iliopo n upigaji
WIZI
Na utapeli
Nakuheshimu kama tff na BODI YENU
Ila siwaogopi
Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu
Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako
HAya mambo yafike wakati...
Tukiacha ushabiki viongozi wa Simba waliweka mtego na Bodi ya ligi imejaa kwenye mfumo, kiuhalisia hakukuwa na sababu yeyote ya msingi ya Simba kugomea mechi.
Lakini kwa Sasa Hivi huwezii kusema...
Hii timu kimya kimya bila mbwembwe niliacha kuiangalia, nafuatilia tu matokeo yake kutokana na kwamba kuna upuuzi mwingi sana ambao lawama zote zinaangukia katika uongozi.
Simba iliuchagua...
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
WAZIRI WAULINZI
NA WAZIRI WA MICHEZO
SASA TUMESEMA TUMECHOKA
TUNATAKA KUJUA HIZI PESA ZETU ZINAENDAGA WAPI KAMA HAMTURUDISHIIII??
HIZI MECHI ZIMEKUWA ZIKITUZOEA...
Nilikuwa pub Moja nasubiria kuxika kinondon
Niliposikia wale wehu wamekwenda kikaon saa NNE
Nilimwambia aliekuwa MMOJA WA MJUMBE WA tff nae n mfiwa
Nilimwambia NDUGU kama HII BODI NA VIONGOZI...
Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam.
Wamelipia Hotel ama...
YAANI HAWA JAMAA WANA SHIDA YA AFYA YA AKILI KUBWA SANA
SOMENI HII BARUA MWISHON INASEMA
BODI IMEHAIROSHA ILI KUPATA MDA WA KUPATA TAARIFA ZA UCHUNGUZI
WALIVYO CRAIZY TAARIFA HAWAZIJAPATA BADO...
Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa...
Hili swali nimelitoa humuhumu Kwa mwana JF nikali highligh tu maana hata Mimi nimejiuliza sana na nimeliuliza sana Kuanzia Jana ila Kila mtu ukimuuliza ana lala mbele.
Hawa wapuuzi WA BODI wangekuwa Rwanda nawaambia kwa sasa wako ndani
Jtatu wako MAHAKAMAN
JNNE wananyea debeeeee
Jtano WANAANDIKA URITHI kwa familia zaooooo
YAAN kuna baadhi ya nchi unatamani...
Tanzania ipo katika mchakato wa kuandaa mashindano makubwa ya AFCON Mwezi Julai 2027 kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.
Tukio hili ni la kipekee na limetumia rasilimali nyingi hadi sasa na pia...
Kwa sababu bodi ya ligi na TFF wameshindwa kuendesha ligi kwa kuipendelea Yanga. Maumuzi watakayofanya juu ya sakata hili ni ya kukurupuka ili kumfurahisha baadhi ya vigogo huko serikalini.
Hivyo...
It is deeply disheartening and utterly shameful that our nation, Tanzania, continues to suffer from a lack of competent intellectuals in decision-making—especially in matters as critical as...
Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo
TAARIFA KWA UMMA
MACHI 08, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo...
WAKATI WATANZANIA MKSHANGAA VITUKO VYA JANA ISSUE IKO HIVI
KUNA BOI MEMBERS WAKO PALE WANASAPOTI SIMBA WAKIONGOZWA NA RAIS WA TFF KARIA
BAADA YAKUPITA WANAKOJUA SIMBA WAKADANGANYWA KESHO...
BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya...
Ifike mahali ukweli usimame na uongo/ulaghai ushindwe. Kuna udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa TFF iwe ni kwa sababu za maksudi au kwa ukosefu wa weledi.
Pengine ni wakati Sasa Uongozi wa TFF...
Wadau wa Michezo,
Ninayo yangu ya kushea!
Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.