Bila kumumunya maneno, hawa TFF wakishirikiana na hivi vilabu vya Simba na Yanga wamegundua sisi mashabiki wa Soka wa Tanzania ni wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wafu. Wanaweza kutengeneza kanuni...
Leo 18:50hrs 08/03/2025
Simba ina sifa ya kugoma ila Yanga ina sifa ya utii na kufuata kanuni,sasa leo sababu ya utoto kabisa imehairisha mechi,hawakufikiria gharama za watu kutoka mikoa 31...
Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta...
Kifungu kilichokwaza mpira wa leo, kwa binafsi yangu ni Kifungu kisicho na maana yoyote,
----""Baadhi ya Viwanja kama Benjamin Mkapa stadium, kisiruhusiwe kuwa home ground stadium ya timu...
... [emoji471] 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗣𝗜𝗢𝗡𝗦 [emoji91]
Kabla Pep hajatua England wachambuzi wa England walikuwa wanaziponda ligi zingine kwa kuziita ni FARMER LEAGUE.
Kwamba ligi hizo hazina ushindani kama ligi yao...
Nimesoma tamko la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya Yanga na Simba, lakini kuna kitu kinatatiza sana.
Nini msukumo wa bodi ya ligi kuhairisha mechi ikiwa maandalizi yote muhimu yameshafanyika...
Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili.
1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu.
2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala...
Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao
Yanga...
Kama mechi imeahirishwa wewe meneja wa uwanja kwann unaruhusu Yanga waingie uwanjani, mechi ushaambiwa haipo wewe umeruhusu Yanga waje na basi Lao waingize timu uwanjani, ulishindwa nn kufunga...
Kwa kuhofia kipigo cha mbwa koko kutoka Yanga viongozi wa Simba kwa makusudi kabisa hawakuzingatia kanuni inayoitaka timu ngeni kuwasiliana na Kamishna wa mchezo na meneja wa uwanja kuhusu kufanya...
Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu.
Tuendeleee
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu...
Kwa hasira kali!
Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF...
Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo
Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford...
Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii
Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa...
Jana kama tungeruhusiwa kufanya mazoezi pale kwa Mkapa hakyamungu naapa juma pili msingeamka majumbani mwenu na jumatatu msingeenda kazini, sisi sio wajinga wajinga kama mnavyodhania, kama...
mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa
Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo.
Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha...
Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao.
Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.