(Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu);
Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa...
Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu.
Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani.
Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga...
Wakubwa Habari...
Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa?
Ni mimi...
Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa!
Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;-
1)...
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi
Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani...
Hakuna asiyejua ushabiki wa kimpira kwa simba na yanga kwa raia wengi wa Tanzania!
Pamoja na kuwepo sheria za mpira lakini mapenzi huwa hayafichiki kwa refa!
Kwanini mechi za Derby ya simba na...
Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa...
Tunaomba Jeshi la Polisi kupitia Kamanda mbobevu na mwenye weledi mkubwa wa kazi yake Kamanda Muliro kuhakikisha kua wanawachukulia hatua Kali ambao wanaojiita makomandoo ambao kimsingi Mimi...
Hii kesi ni ndogo tu,tunahitaji barua au barua pepe ya kuthibitisha kuwa Simba ametoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi,wasijizonge na kuleta siasa katika mpira.
Mechi ipo
Simba kunyimwa kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Mkapa ilikuwa sawa.
Uwanja wa Mkapa uko kwenye matengenezo, na bahati nzuri timu zote hakuna inayocheza Wala kufanya mazoezi yake pale...
TFF na Kamati zenu huko msione Aibu kuweka hadharani Maamuzi ya mwisho na Simba SC ambayo wameyatoa baada ya nyie kwenda Kuwaomba kwa Kuwabembeleza kuwa Wacheze Mechi ya Leo pamoja na kuwatumia...
“Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
Yaani mmekuwa na muda wa takribani wiki moja ya kufanya mazoezi na maandalizi yenu yote, mmetumia gharama kubwa sana halafu mnasusa mechi kisa kunyimwa kufanya mazoezi usiku?
Simba mpo sahihi...
Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe?
Kwamba...
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya...
Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi...
Vitu vingi vinatatiza makomandoo wa Yanga wanaamini ulozi sana kuliko timu yeyote hapa bongo mchezaji wao asipofunga wanasema amerogwa.
Wao muda wote wazee wa timu ni kuzungumzia uchawi tu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.