Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo...
3 Reactions
8 Replies
291 Views
Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi? Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya...
3 Reactions
2 Replies
142 Views
Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa. Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu...
0 Reactions
8 Replies
172 Views
Mchambuzi wa Soka, Hans Rafael amesema kuwa barua ya klabu ya Simba ya kutangaza kutoshiriki mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga imeacha maswali mengi kwenye maeneo kadhaa. Kupitia ukurasa wake wa...
4 Reactions
25 Replies
795 Views
Ni kweli inauma ila lazima Muzoee
7 Reactions
10 Replies
270 Views
Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
2 Reactions
3 Replies
545 Views
  • Redirect
Wameshituka . Kulaleki
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umesema kuwa mchezo wa Derby ya Kariakoo uliopangwa kucheza leo Machi 8, 2025 dhidi ya Simba saa moja na robo usiku uko pale pale na hakuna mabadiliko yoyote “Yanga...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa mwenye kanuni za ligi arejee vifungu vyao wenyewe ambavyo wanavikiuka hadharani na kuendekeza ushirikina. Hii ni aibu Ya Mwaka. "Pingamizi la mchezo lilipaswa kuwasilishwa baada ya mechi"
0 Reactions
Replies
Views
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni...
5 Reactions
16 Replies
594 Views
Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Najua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika...
4 Reactions
11 Replies
260 Views
Tukio la kusikitisha limetokea baada ya mechi ya Yanga SC vs MC Alger ambapo shabiki wa Simba alipigwa na mtu wa Yanga mbele ya Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, wakati wa mahojiano na Crown...
1 Reactions
23 Replies
926 Views
Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile...
4 Reactions
6 Replies
149 Views
  • Redirect
Tetesi: Za ndani kabisa mechi itakuwa kesho leo jioni simba kufanya mazoezi lupaso.
0 Reactions
Replies
Views
1. Mchezaji mmoja Kupasuka na kuvuja Damu Kichwani au Usoni. 2. Kadi Nyekundu (ya Mchezaji tegemezi) na Timu moja kucheza pungufu. 3. Mtanange kusimama kwa dakika 3 hadi 5 kutokana na Fujo. 4...
6 Reactions
25 Replies
943 Views
Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom