Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla...
Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4)
Baada ya kupitia...
Taarifa ya tff inawabana. hii ni hujuma na kuionea Yanga.
Simba alistahili adhabu, maana amekiuka taratibu na kanuni.
Tunadili hiki KIPENGELE alafu tuone nani amezingua.
Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi,
Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini?
Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua...
Nakemea kwa kile kilichotokea na hata Simba wana haki ya kusikilizwa hoja zao. Lakini swala la kuahirisha hii mechi ni jambo ambalo limeonesha udhaifu wa kitaasisi zinazosimamia ligi ya NBC PL...
Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani.
Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa...
Wakuu
Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa.
Soma, Pia
Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo...
Hawa wahuni ni kundi kubwa, vijana mixer na wazee. Mzee Mpili ameonekana yupo viunga vya uwanja wa Mkapa akaitaka kuingia uwanjani ili kupata kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu kati ya Simba...
Eng Hersi na bodi ya timu yetu ni viongozi makini na nawaheshimu sana
Kituko cha Leo Simba kususia mechi,
Naona kanuni ziko wazi na zipo upande wa Yanga
Kwa vyoyote vile mechi haikupaswa...
Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia...
Amani kwenu watumishi
Walianza kama mzaha mzaha wakaanza kuwa wanashingilia sare, wakatoka hapo wakaanza kushangilia kufungwa magoli machache
Leo hii ndo wamefikia kubaya zaid wanashingilia...
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na...
Wanajanvi.
Leo ni siku ya wanwake duniani, matamko mengi yametolewa na viongozi mbalimbali. Yapo yaliyoandikwa na kutangazwa na mengine yamepotelea pasipo julikana.
Hofu ya watawala siku ya leo...
Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea.
Simba:
Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye...
Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali...
Kampuni ya kurusha matangazo ya Ligi kuu NBC, Azam Media wametoa taarifa ya kusikitishwa kwao kuahirishwa kwa mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa leo...
Kuna jambo limenistua kidogo baada ya kusikia taarifa za bodi ya ligi kuhairisha mchezo kati ya Yanga na Simba kwa lengo la kwenda kufanyia uchunguzi madai ya Simba kuzuiliwa kuutumia uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.