Yanga haina hawa watu na katiba ya Yanga haiwatambui
Kwamba hapa Tanzania Kuna kikundi kinachoitwa makomando wa Yanga ambacho Kwa makusidi linaweza kuzuia msafara wenye polisi kuingia uwanjani...
Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo.
Hapa ni nyota...
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣
Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile...
Salam wapenda "kandanda".
Kwa muda mrefu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limekuwa dhaifu inapotokea inshu ya SIMBA & YANGA. TFF na bodi ya ligi (bodi dhaifu kabisa) wanakua tayari kuvunja...
Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.
Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.
Simba wakubali adhabu...
Ndugu wana JF,
Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa.
Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na...
My Take
Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto
Updates
Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia...
Habari wakuu,
Huu ni uzi maalumu kwa wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira na kuuchambua mnakaribishwa
Pia wadau wote wenye hii taaluma mnakaribishwa kutoa somo na kubadilishana...
YAH: TAARIFA YA SIMBA SPORTS CLUB KUHUSU MCHEZO WA LIGI KUU NBC DHIDI YA YANGA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea barua ya malalamiko kutoka Simba Sports Club kuhusu changamoto...
Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli...
Kumekuwa na kasumba ya kila mdau wa JF aonekane yeye ndio wa kwanza kufungua thread ya mechi ya Simba Vs Yanga.
Matokeo yake mpaka ni mlundikano wa nyuzi japo huwa zinakujwa kuunganishwa.
Mbaya...
Wana simba walikusamehe ile mechi ya Kwanza kwa kukosa weredi wa kutumbukiza mpira golini ulikua na option mbili ufunge wewe au umpe pasi kibu wakati huo diara hakua golini ukareta mbwembwe za...
Nikiwa kijana mdogo kabisa , 30 August 2013 pale Fortuna Arena Czech republic, ilipigwa mechi Kali ya UEFA super cup ,ambayo kwangu ndio mechi Bora ya soka kuwahi kuishuhudia maishani mpaka sasa...
Habari.
Naona TFF wameanza kupata funzo muda si mrefu wametangaza kuhahirisha mechi.
Na kwa muda huu wanaomba waandishi wa habari kuwasogezea vipaza sauti kwa mahojiano zaidi.
Kwa maelezo zaidi...
Wakuu,
Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣
Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.