Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa...
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha...
Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon
Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu
Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika...
Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.
Papida ameweka...
Wakati watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani...
WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya HAINA KIPENGELE, kuna taarifa mbaya na ya huzuni kwa nyota wa zamani...
Nasikiliza hapa Crown Sports ya Crown FM, wachambuzi wa kipindi hiko wanajadili ile faulo iliyozaa goli la Simba.
Hans anasema sio goli halali kwakuwa mpira ulianzishwa katika eneo sio sahihi...
Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF)...
"Na mimi nitumie nafasi hii kuwaomba watu wanashughulikia mitandao ya kijamii (TCRA) washughulikie taarifa kama hii, kwasababu Unapotoa taarifa kama ile huenda una vyanzo, lakini madhara ya...
Habari!
Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote...
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi...
Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani.
Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo.
Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.