Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili.
Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa...
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo:
▫️Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES)...
KIUNGO MCHEZESHAJI ALIYEKAMILIKA
Andres Iniesta alianzia soka lake akiwa kwenye Academy ya La Massia inayomilikiwa na Barcelona. Uwezo wake wa kucheza kwenye nafasi tofauti, kujituma, na umuhimu...
Wakuu,
Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku...
Mwewe ni ndege mwenye akili, weledi na nguvu kuliko kunguru ama njiwa. Mwewe anaweza kutatiza viumbe wengine kama kuku, nyoka na wanyama wadogowadogo. Hivyo, Mwewe ni alama muhimu kwenye mataifa...
Nyota wa Soka Neymar Jr amerejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kwa michezo ya Machi, ikiwa ni mara yake ya kwanza kuitwa baada ya takriban miaka miwili.
Hata hivyo, Antony na Endrick...
Mdau mkubwa wa michezo nchini na Mwanachama wa Klabu ya Simba, Mzee Azim Dewji amefunguka kuhusu waamuzi ambao watachezesha Dabi ya Kariakoo.
Wakati huo huo, kamati ya Waamuzi nchini inemtangaza...
Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara
TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer
Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally...
Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo...
Katika Muundo wa vilabu vingi vilivyoendelea Ulaya na kwingineko sijaona cheo cha Msemaji wa Timu, kwao kuna Mtendaji wa Timu na Kocha, hawa ndio wasemaji wa Timu, kwa maana ya kufafanua masuala...
Ally Kamwe kufungiwa TFF sisi wanasimba inatuhusu nini? Hamuoni kuwa kuna mpango wa kutuzubaisha ili jumamosi watuue halaf Ally Kamwe asisimamishwe tutakuwa tumepata nn
Kamwe akiadhibiwa sisi...
ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani!
By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana...
Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda.
Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu...
Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito.
Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa...
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU...
Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC.
Leo tutazame head to head katika mechi zao...
Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.