Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini...
Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida
Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima
Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama
Upinzani wao ni...
Amani iwe nanyi watumishi
Kumbukumbu zangu zimenipeleka mbali sana
Lakin hasa nikiikumba yanga mbovu kabisa iliyokutana na Simba imara kabisa iliyosheheni kila kitu
Hapo nakumbuka mwaka 2020...
Ndugu Fahdu Davis, Kocha wa Simba
Awali ya yote nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya ndani ya klabu ya Simba Sports Club.
Ama hakika hadi sasa kupitia wewe na benchi lako la...
TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki...
Kwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua...
Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi...
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.
Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama...
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa...
Katika kampeni iliyoanzishwa na Benki ya NBC ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, mimi kama mdau wa mpira nimeshangazwa kama si kuchekeshwa na kusikitishwa na Kauli za Mwigulu, kwanza ametoa...
Mashabiki na wapenzi wa Simba sports club
Mechi ya Derby ya tarehe 8, sisi tunaingia kama underdog, tunaona kila mahali utopolo wanajitapa, Wana matokeo mfukoni tayari, tunasikia wengine wako...
Wakuu
"Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."
Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji.
Tajiri, nina neno moja kwako.
Msimu huu umefanya mambo makubwa sana pale Simba. Kikosi kinaeleweka, heshima inarudi katika ligi ya...
Ndugu Mohamed Dewji
Mwenyekiti wa Bodi
Bodi ya Wakurugenzi
Simba Sports Club
DAR ES SALAAM
YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025
Ndugu Mwenyekiti...
Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja.
TFF kubalini pendekezo la...
Wakuu habari zenu?
Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi...
Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF
TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA
Mfungaji Bora wa CAF
Kucheza team kadhaa ulaya
Best in scoring,dribling skill , shooting nk
Hakika uyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.