Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ushawahi kujiuliza why Akishinda Simba na akawa anaongoza Ligi hata kama kamzidi Yanga point 1 ila hutasikia kelele za Kua GSM anaharibu Ligi Kwa kusema ana toa sponsorship Kwa Team nyingi. Simba...
3 Reactions
10 Replies
252 Views
Kesi ya Ahmed Ally na Ally Kamwe iliyowapeleka kuitwa kamati ya Maadili ya shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) imepelekwa mbele mpaka hapo kesho. === Mapema leo, Mameneja hao wa Habari na...
1 Reactions
3 Replies
805 Views
Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango...
0 Reactions
5 Replies
151 Views
Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha...
7 Reactions
27 Replies
986 Views
Full name: Juventus Football Club S.p.A. Nickname(s): [La] Vecchia Signora (The Old Lady) Founded: 1 November 1897 (as Sport Club Juventus) Ground...
11 Reactions
4K Replies
248K Views
Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne...
1 Reactions
18 Replies
632 Views
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela. Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza. Timu...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
  • Redirect
Kampuni ya kubeti ya 888bet Tanzania ndio kampuni tajiri zaidi ya betting sio Tanzania tu bali hata duniani . Kampuni chini ya Port achia inamilikiwa na 888holding africa Chini ya kampuni ya Evoce...
0 Reactions
Replies
Views
TFF hamna VAR,mnajua wazi waamuzi wetu wote wamegawanyika katika ushabiki wa timu hizi mbili za kariakoo,waamuzi wamekuwa wakitia aibu kuchezesha mechi hizi zinazoangaliwa na watu wengi nje ya...
0 Reactions
4 Replies
158 Views
Hello! Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Ronaldo Nazário (R9) has always spoken highly of Messi, calling him a ‘unique’ talent and one of the greatest ever. He admired Maradona’s magic and was deeply inspired by his legacy. When it comes...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kujifunza kupiga danadana siyo sana suala la ujuzi bali ni suala la kufanya mazoezi. Ukiwa unaweza kupiga danadana utakuwa na stamina nzuri na kuweza kuuchezea mpira vizuri unapokuwa unacheza...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kutoka Uvinza Kigoma, babu radi ameangalia dakika 90 za mchezo na mambo yakawa hivi. Y= Yanga A= Ameiua S= Simba Matokeo kamili ni 6-0 Prince Dube - 3 Aziz Ki - 1 Max Nzingeli 1 Baka - 1 (goli...
4 Reactions
16 Replies
411 Views
Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu Machawa wa Samia hawapoi Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi...
1 Reactions
13 Replies
411 Views
BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8 Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka...
3 Reactions
31 Replies
663 Views
Niwakumbushe tu Wana Simba zimebki siku 7 NENDEN kafwatolein hamjawahi toka salama siku ya wanawake DUNIAN Na hii nowajuza ili siku mkiona hii tar geuzeni njia mtaliaaa Hii siku MSISHANGAE 4-6...
3 Reactions
13 Replies
598 Views
1. Mchezo ulikuwa super ingawa mashabiki walikuwa na hofu sana walipoona mabadiliko ya kikosi, kikosi alichokuwa akikipanga mara kwa mara kocha Fahdu kiliwafanya wapinzani wajue namna ya...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA...
4 Reactions
59 Replies
1K Views
Back
Top Bottom