Wachambuzi uchwara na mashabiki wa Simba walilamika ati Singida walipanga matokeo na wachambuzi wakaenda mbali ati TAKUKURU waingilie kati
Jana wachambuzi wakaja juu eti Yanga wamefanya rotation...
Ujenzi wa Uwanja Mpya wasimama
2007-11-23 19:18:21
By Somoe Ng'itu
Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Taifa umesimama kufuatia wakandarasi wa uwanja huo, kampuni ya Beijing Construction kuidai...
Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana.
Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe...
The Special One anataka kurudi kwenda kuiokoa team yake "kipenzi" ya Chelsea.
Soma hapa http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/4777341/Jose-Mourinho-wants-Chelsea-return.html
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Muhammed Seif Khatib, ameelezea kuridhishwa kwa serikali na uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Leodgar Tenga.
Akizungumza katika...
Derby ya Simba na Yanga ina tamaduni zake, wenzenu wanafukia mbuzi wazima wazima nyie mmekaa tu mnakula viyoyozi.
Nyie kaieni tu mkikenua kenua meno humo maofosini, tarehe 8 mechi tunaitaka, kama...
Wachambuzi 𝐒𝐡𝐚𝐟𝐟𝐢 𝐃𝐚𝐮𝐝𝐚 & 𝐉𝐞𝐦𝐞𝐝𝐚𝐫 𝐒𝐚𝐢𝐝 mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM...
Hawa wawili ni full backs Bora kabisa kuwahi kutoka hapa Tanzania ( ila tukubaliane kazi na umri shehe )
Wametumika na makocha wengi kwa mda mrefu na Bado wanaendelea kutumika ( hili ndilo AMBALO...
Tangu nianze kufuatilia mpira mwaka 1993,mwaka ambao Azim Dewji aliahidi Simba ikishinda kombe la CAF angewapa gari aina ya KIA kwa kila mchezaji,na Simba ikafika fainali na kupigwa chuma mbili...
Eng Hersi amekuwa ambaye ndiyo Rais wa club ya Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa, amekuwa mahiri na kuonyesha uongoza thabiti na wenye weledi
Akiwa Yanga amefanya mapinduzi makubwa na...
Ligi kuu ya Tanganyika inazidi kushika kasi huku miamba wawili wakitunishiana misuli kunyakua ubingwa wa NBC premier league. Hizi hapa mechi ambazo watazicheza away.
Yanga vs 🦁
Namungo vs 🦁...
Hapo vip!!
Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.
Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu...
Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+.
Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza...
Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine
Walishinikiza uongozi...
PAMBA JIJI FC🆚YOUNG AFRICANS SC
📅28.02.2025 | 🏟️CCM KIRUMBA | ⏱️4:15PM
Karibu kwa update za mchezo wa Leo
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Mwamnyeto amefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.