HABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.
Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.
Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu...
Eddie Anaclet (Oxford United) na Eric Odhiambo (Leicester City). Ni kaka wawili apparently.
http://www.oufc.premiumtv.co.uk/page/ProfilesDetail/0,,10342~32477,00.html...
Azam FC imeondolewa kwenye CRDB Bank Federation Cup baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City na kwenye mikwaju ya penati Azam wametolewa kwa penati 2-4.
Mbeya City inasonga mbele hatua ya 16 bora...
FT Azam 1-1 Mbeya City
Penati Azam 2-4 Mbeya City
Baada ya penati ya mwisho ya Mbeya City, Azam walienda kumzonga refa wakitaka wamalizie penati yao. Refa akawaelewesha hata mkipiga hamuendi kokote.
Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba...
Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku
Vipi usalama kwa...
Coastal Union VS Simba SC
| NBC Premier League
| Sheikh Amri Abeid Arusha
| March 1, 2025
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024...
Wana YANGA mpooo
Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya...
Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko...
Hi ladies & Gentlemen,
Welcome to Brazil National Football Team special thread.
Tuendelee kupeana updates mbalimbali kuhusiana na Timu ya Taifa ya Brazil.
Nime attach full squad itakayoenda...
Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu:
Manchester City
Manchester United
Arsenal
Real Madrid
Barcelona
Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera...
WACHEZAJI WA YANGA WAAHIDI KUMPASUA SIMBA MACHI 8.
.
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga,Stephanie Aziz Ki amesema anatarajia kumpatia zawadi ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa Mbunge ambaye...
Amani iwe kwenu wana MUNGU
Leo nikiwa katika tafakari usiku wa manane
Niliona watu wakiwa uwanjani kukiwa na washangiliaji wengi sana huku team mbili zikicheza moja ilikuwa na jezi nyekundu na...
Habarini za Jumapili, Leo hatuna mambo mengi, nakuja na kikosi ch Yanga ambacho kitaanza na mechi dhidi ya Simba makolo, kikosi hili kitaleta madhara Kwa watu wengi sana, kuanzia Kwa Uongozi wa...
Kuelekea mchezo wa Derby tarehe 8, kuanzia kesho nitakuwa naachia salamu mbalimbali kwa wahusika wafuatao:
Tarehe 3 nitatoa salamu kwa uongozi wa Simba
Tarehe 4 nitatoa salamu kwa benchi la...
Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa...
Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika.
Mnaonaje sheria mpya...
1. Ally Salim kajitahidi leo pamoja na kukaa mbao ndefu muda mrefu bravo kwake beki zetu za kati marking mbovu back passes aaah kwa timu inayoshambulia kwa kasi kama yanga kazi itakuwepo
2...
Yanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.