Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?
Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.
Fikiria kikosi...
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal
📆 26.11.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya...
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar🔰💪🏽
Dakika ya 15
Mzize anakosa goli la wazi
Dakika ya 17
Yng 0 -0 kgr
Dakika ya 20
Kagera sugar wanapata Free kick
Dakika ya 21
Yanga SC wanapata kona...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Pamba Jiji FC
📆 03.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 6:30PM(EAT)
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal...
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC
📆 24.08.2024
🏟 Azam Complex
🕖 19:00
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL
#GoliLaMama...
Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix
Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars...
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla...
Utopolo ni kawaida yao kuishia hatua ya makundi, hapo waliburuza mkia na wanadaiwa goli 9.
Ule msimu wao wa ngekewa waliobahatisha kwa kukutana na wagonjwa akina Malumo na Rivers walijiona na wao...
Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao...
Ndugu Wadau wa Soka Tanzania,
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania)...
Nimekuwa nikifuatilia sana mahojiano ya huyu muha akizungumzia kufungwa kwa Simba na Yanga kila mara.
Ninaanza kuwa na mtizamo tofauti juu ya azma yake kwa Simba. Huyu mtu anahitaji kuwa...
Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11.
Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika...
Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC...
Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na...
Mfululizo wa mechi za ligi kuu ya NBC unaendelea.
Na weekend hii ni Wagosi wa Ndima, Coastal Union wakiwaalika Simba Sports Club katika dimba la Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Kaluta pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.