Tuzifahamu baadhi ya makampuni yanayomiliki timu zaidi ya moja duniani
1) The City Football club (CFG)
Hawa jamaa wanamiliki timu 13 ambazo ni
Man city ( Eng)
New York City fc (USA)
-Melbourne...
Kumbuka Bakhresa ambaye ni mmiliki wa azam ni mwanachama wa SIMBA na amewahi kuwa muweka hazina wa timu ya Simba kwahiyo sisi ni ndugu wa damu.
Tunakutuma utakapokutana na Yanga mpige chuma 3...
Halafu Wanafiki na Wapumbavu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC aliyeondoka hapa karibuni aliposema Ukweli mkamponda sana huku hadi mkitishia na kumtaka aombe Radhi. Sasa kwa huu Upuuzi wa GSM kwa...
Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama...
Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet.
Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama...
Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha.
Lakini sasa limebaki...
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kuwa NUJUMU / TABIRI zangu kwa 95% huwa zinaenda vyema na kwa za hivi karibuni Mbili za Simba SC na Singida Fountain Gate FC na Simba SC na Azam FC zimeenda vile...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde
"Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili...
Wakamaria helà hiooo weka YANGA win n 3+
Pamba anapigwa
Niko kwa wakala
Kama nilivyosema ya Simba
Na ta r 8 nshawapa ubuuuyuuu
Mtu anapigwa na 3+. Hauhitaji HATA udi subiria matokeoo
Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii.
Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa...
Mimi ni Mwanachama hai wa Simba, Sijaridhishwa na Uteuzi wa Ramadhan Kailima kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba
Kailima ni mtu asiyeaminika na amewahi kutumika mara kadhaa na ccm kwenye...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba...
Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda.
Naima...
Sijui ni ukilaza ujinga au??
2022 alifungiwa
2020 alifungiwa
2019 alifungiwa
Tena kuna mechi kati ya Yanga na Azam aliwabeba Yanga akafungiwa
Acheni ujinga
Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu...
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.
Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya...
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...
Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.