Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo...
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa...
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa...
Simple;
Bet hata kwa mara ya kwanza.
Tafuta mechi ya Simba na Azam kwenye mikeka ya Betting.
Mpe Simba Ushindi. Mpaka Sasa ana point 1.60.
Hapo ukiweka laki una laki na sitini, ukiweka milioni...
Simba SC VS Azam FC
| NBC Premier League
| Benjamin Mkapa
| 24 Februari, 2025
| Saa 1:00 Usiku.
Wafungaji wa magoli
Simba > Elie Mpanzu dakika, 25
Abdulrazak Hamza dakika, 76...
Tuache lawama wana lunyasi...
Kilichotokea jana ni tafsiri halisi ya ligi yenye ushindani...
Si hivyo tu, matokeo ya jana yanaondoa uvumi kuwa Azam hucheza kwa low intensity ili kuifaidisha...
Huyu anafaa kuwa kocha wa viungo. Hana mbinu za maana uwanjani haswa timu ikielekea mechi ngumu na za kimataifa.
Sioni akimaliza siku 30 kuanzia Leo pale Msimbazi.
Ahlan wa sahalan.
Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba.
Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi...
Nawapongeza Simba wana project nzuri, wameamini damu na wanacheza vyema
Coach Fadlu amekuwa coach Bora kabisa, amefanya rotation ya kikosi na kila mchezaji amempa nafasi
Mashabiki waache kuipa...
Mashabiki wa yanga a.k.a gongowazi naomba muache kutushobokea,kutufuata fuata na kutupa pressure sisi bado tunajenga timu na timu yetu imefikia 60% bado 40% ili chama litimie tuanze kuwapiga watu...
Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka...
Huyu kipa kila mpira anaojaribu kuucheza na mguu unatinga kwenye nyavu, kwani simba hakuna kocha wa magolikipa? Eneo la goal keeping simba makipa wanafanya makosa yanayojirudia yanayoigharimu...
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...
Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies...
Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi.
Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira...
Kuanza kuisema sema timu yetu vibaya na kuanza kushambulia kocha kuwa alichelewa kufanya sub, kwamba Zimbwe ameshazeeka hana uwezo wa kumweka benchi Nouma, mara Ngoma alichoka na ilibidi Mavambo...
Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua...
Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC
MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥
4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na...
Najua kutakuwa na penalty kutoka PANDE yoyote
Ft yanga atashinda
JUMLA ya magoli wakamaria mnaweza weka 3+/2+
Sijawaacha pia mnaweza weka magoli MENGI KIPINDI CHA pili Ina 2.50 odds mpaka sasa...
Wale mlionangoli la Simba tuangazie hapa hili GOLI kwangu n offside sijui nyie hukoo
Huyu msaidizi nahisi alikuwa amekunywaaa smart gin kidogo maana Yuko karibu kabisa na akapeta
Mshukuruni sana...
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.