Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh...
I salute you kinsmen.
Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye.
Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali...
Mechi ambazo tunatoka sare unaona kabisa tumezidiwa mambo ya nje ya uwanja na nina wasiwasi sana kuelekea tarehe 8, tulikomaliwa na Fountain Gate kwa mambo ya nje ya uwanja, Azam naye akatuwekea...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga...
Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya...
Huu uzi nautoa kama tahadhari ili kama kuna sehemu ya kusafisha ifanyike haraka. Sitaenda kumnyooshea mtu kidole wala kumlaumu mtu bali ninachotegemea ni wahusika kuangalia mambo kwa jicho la...
Kiukweli mimi kama mdau wa soka la Tanzania na dunia kwa ujumla, nashindwa kuelewa kuhusu Azam FC, kiufupi hii timu inawachezaji wa hali ya juu na vitu vyote vya kimichezo kama uwanja na...
Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini.
Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo...
Mashindano madogo ya Shirikisho ambayo CAF ilitaka kuyafuta Kwa kutoona tija Yake, Leo mtani ndo anatamba nayo
Mashindano ambayo mwaka huu alishiriki Coast union, Leo mtani ndo anatamba nayo
Hii...
Wewe ni kocha umesomea taaluma yako ya ukocha na ukapewa leseni ya ukocha unawezaje kupangiwa kikosi na kiongozi wa timu ambae hana uelewa wowote na taaluma ya coaching?!...
Ifikie hatua haya...
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana...
Habari zenye uhakika
Mzee mamluki WA YANGA
Mzee magoma ameonekana maeneo ya MWANZA Toka jana
Akirindima maeneo karibu na SEHEMU mechi inapoenda kyfanyika
Wanakamati WA YANGA msiliachie kirahisi...
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026...
[emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho...
kwa hii michezo inayoendelea kwenye LA FAMILIA, mechi dhidi ya pamba haiwezi kuwa na utofauti
Hili ni goli dhidi ya Mashujaa, wachezaji hawaonyeshi masikitiko yoyote, tunaweza kuona wakifurahi na...
Nimeanza kuafiki wazi la waziri mwana FA kuhusu kuwapa elimu ya uchambuzi wachambuzi mazwazwa wa Tanzania
Inashangaza wachambuzi kuongelea na kulamika kuhusu upangaji wa kikosi wa coach na...
Hii ndio kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo
Amesema kuendelea kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono kikundi cha M23 kinachofadhiliwa na Kagame
Hapo vip!!
Sina maneno mengi ila mpira umeonekana yanga alizidiwa kila kona na Simba.
Na Simba tumeona amezulumiwa bao,nasema amezulumiwa kwasababu kama Kayoko anaweza kuruhusu mpira uliotoko...
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.