Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza.
Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki.
Mo acha...
Nikiwa kama shabiki kindakindaki tena lialia wa mbumbumbu efusii, naomba Leo nikiri kwa maandishi yangu kwamba sisi Simba sipoti kilabu ni mchelemchele. Ndio !!,
Namaanisha kuanzia benchi la...
Wakuu...nmelala mchana huu nimekurupuka Baada ya kuota ndoto hii ya kutisha japo ni nzuri Kwa maslahi ya football
Nmeota simba kafungwa 2_ 0 na Azam huku wafungaji wakiwa ni feitoto na...
Japo Mimi ni mchambuzi na mwanasimba kindaki ndaki....ila hil jambo la penalty na Red card linaniuma sana
Nini kifanyike
1. Simba watafute ukbi mkubwa ...pia ifungwe TV kubwa sana ......the...
Simba ana mechi ngumu zijazo
Hizo mechi zote anaenda kudondosha alama 7
24 February
Simba vs Azam
Licha ya undugu wa damu alionao Simba na Azam. Naamini hii mechi Azam atamkazia Simba ili aweze...
Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili.
Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi?
Nenden...
Geoff Leah mchambuzi wa EFM na ETV anamsagia Tshabalala muda huu kwenye namba ten.
Anasema kwamba Zimbwe ni beki dhaifu katika ukuta wa mabeki wa Simba SC. Kuna ukweli wowote?
Amerejea mechi ya...
Leo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC...
#TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa...
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
Hii soka inaelekea wapi? TFF imekiri wazi kuwa ile kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo haikuwa sahihi, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya maamuzi mabovu ya mwamuzi. Hivi...
Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana.
Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30...
Wakuu,
Simba walichezea nafasi waliyopata na sasa wameanzisha propaganda kubwa sana
Kila timu ikifungwa na yanga basi ni udhaminj wa GSM na urafiki wa GSM. Hizi ni hoja mfu sana.
Wakati wa game...
Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri.
Mnaobeti kazi kwenu.
Hamtafundishwa kila kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.