Kwa wale wafuatiliaji wa Kipindi Cha Kipenga Extra na Kipenga kupitia EATV na EA Radio Leo kipindi kimekuja na habari mbaya.
Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati...
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana...
Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la...
Mchezaji wa Namungo kapewa red card kabla timu yake kufungwa (0-0), baada ya red card timu ikabaki na wachezaji pungufu na kufungwa magoli 3. Maana yake Kuna uhusiano kati ya red card na timu...
Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo...
Manara ametusaidia toka akiwa bado Simba na baadaye walipomfukuza aliendelea kutusaidia. lakini naona kwa sasa mnamwona kama hana mchango kwa Yanga hapa ilipo. Nimeona hata kwenye harusi haji...
Kama kawaida kwa mechi zake timu hiyo kongwe imemalizana na Waamuzi wa mechi ya kesho. Waamuzi hao wameshalamba sehemu ya mlungula wao kuhakikisha timu inashinda ikiwemo kutoa penalti na kumtoa...
Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi...
Magwiji, manguli na klabu kongwe zaidi afrika mashariki kwa kupanga matokeo Yanga a.k.a Gongowazi watakuwa uwanjani leo kucheza na tawi lao la mashujaa.
Kuna dalili zote za upangaji wa matokeo...
Ninachojua Simba ina uwezo wa kumfunga Namungo bila makando kando yoyote.
Yanga ni mafia sana na walimpa maelekezo mwamuzi aiharibu mechi maksudi ili kufuta malalamiko mengi ya timu yake kufanya...
Ikifukie ya kwamba.....
1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga
2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC
3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC
4...
Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Manchester City umeifanya Liverpool kuongoza Ligi Kuu ya England "Premier League" kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili (Arsenal)
Matokeo...
LIGI KUU YA TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO AFRIKA
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limetoa Orodha viwango vya Ligi katika Nchi zote Barani Afrika
Hii ni Baadhi tu ya Orodha ikionyesha Zile...
Ni mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa!
Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣
Na sisi...
Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM
Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu.
Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea.
Wazee...
CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM
Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku...
Bado nasema dube ni mshambuliaji mzuri pamoja na mapito anayopitia.
Mpaka sasa sidhani kama Kuna namba 9 kwenye ligi nzima mwenye mchango wa magoli kwenye timu yake anayemzidi dube!
Kama yupo...
Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.