ndo naambiwa kuwa huyu mchezaji ana asili ya Tanzania. Andendekyise Mwakikole na wanasema wazungu wakaamua kumuita Andy Cole. hayo nimeaambiwa leo nikiwa hapa Jangwani na wazee wangu wa Yanga...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari...
Hii ilikuwa Moja ya derby kubwa hapa Tanzania baada ya Ile ya Simba. Vs Yanga
Ila Kwa Sasa ni kama mechi ya kawaida kabisa, watu hawana habari nayo
Bado siku 1 hii derby ipigwe lakini hakuna...
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe
Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na...
Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!
Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na...
Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari...
Hapa ndo ukisikia mtu mzima kusumbuka
Sisi wanasimba tulihitaji kale katimu ka South Africa Sasa tumepewa mwarabu
Kama Simba ataingia semi final atakutana na Zamalek au Stelleboch 🤣😅
Kimeumana...
Bila kung'atang'ata maneno naiomba TFF wamfungie huyu mwamuzi kwa kitendo cha kutoa kadi nyekundu isiyo ya halali dhidi ya mchezaji wa Namungo katika mchezo unaoendelea hapo uwanja wa Majaliwa ...
Jacob Masawe, Nahodha wa timu ya Namungo akihojiwa baada ya mchezo amesema alikwenda kumuuliza refa Smart "mchezaji wake" (Derick Mukombozi) kafanya kosa gani lililopelekea kupewa Kadi nyekundu ya...
Kwa hakika SIMBA ni timu kubwa sana afrika just imagine wakati tunajiandaa kucheza na almasry kwenye michuano ya CAF, yanga wanaenda kucheza ndondo cup na mashujaa kigoma.
Ifike muda muache...
Baada ya kumwonesha kadi nyekundu mchezaji wa Namungo Derick Mukombozi,refa anaonekana akionesha ishara kuwa ameona kwa macho yake, Nahodha wa Namungo amenukuliwa amisema kuwa refa alimwambia kuwa...
TFF imemfungia mwamuzi msaidizi mechi ya Simba vs Namungo miaka 3 kutoka na kushindwa kuitafsiri sheria ya offside.
===
TFF WACHOMOA 'BETRI' KWA MWAMUZI ALIYECHEZESHA SIMBA VS NAMUNGO, AFUNGIWA...
Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha soka Wilaya ya Dodoma Mjini Mwalimu Joseph Sehaba Amefariki Dunia.
Mazishi Yatafanyika Kesho Katika Makaburi ya Chang'ombe Saa 10 Jioni.
Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru.
Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni...
Katika fani ya magonjwa ya akili yapo magonjwa kama vile msongo wa mawazo (stresses) na sonona (depression) ambayo tiba yake kuu ni kutoa ya moyoni hadharani au kwa mtu unaemwamini. Tiba hii...
Huyo anakaba mpaka kivuli anamwaga maji kushoto anapanda na kushuka mapafu ya mbwa kross kama zote yani beki Mwamnyeto kazi ipo Utopolo🐸🐸🐸🐸
Mechi 9 goli 50 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
UBUNTU BOTHO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.