Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga...
Hiyo mipango ya hujuma Kwa Yanga haitafanikiwa
Yanga ni kubwa mtafungwa tu
Huyu mwamzi ndo alimaliza mechi ya Simba vs Coast union,
Coast union walikuwa kwenye move ya kufunga goli la ushindi...
Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa upande wa michuano ya Kombe la...
Sio jambo la kificho tena, kuwa timu kubwa hapa nchini zinapendelewa na waamuzi waziwazi..
Timu ndogo zinafahamu hili, Mashabiki tunajua hili, Wachezaji na makocha wanajua hili,
Media zote...
Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo...
Siku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
Angalia jinsi Yanga...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa...
Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza...
Tunahitaji waamuzi wakali wasimamie sharia zote za soka bila kuangalia mtu usoni.
Wachezaji wanapaswa kujua soka ni uwekezaji mkubwa na lazima wawe na nidhamu na soka.Wafanye bidii kwenye...
Hatuchoki. HATUUVUMILII.
Naonaa upuuzi unaendelea mechi za Simba.
Nashauri TFF refa mnaemweka siku hiyo mjipange kweli. UPUUZI WA kupeana penalty za ajabu YANGA hatuubebi.
Ujinga wa redkad za...
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira...
Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google
Mechi n Azam vs YANGA
REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc
Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji...
Kwa kuwa watanzania wengi siyo watazamaji wa michezo ya basketball na football (american football siyo soccer), style ya ushangiliaji ya Janshalewa ni kama imekuwa ngeni kwa watazamaji wengi na...
Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya...
Kila kitu vimewekwa sawa, waamuzi, makocha wa timu pinzani na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani wameshawekwa sawa kazi yetu leo ni ushindi mnono huyo Utopolo atajuta.
Kadi Nyekundu itatolewa...
MUHIMU
Unaweza kuidhamini timu lakini bado ikawa upande wa adui yako !!
Kuna muda tawi linaweza kukazi upande wao, si kila mechi ni mtelezo
SIMBA
Azam (Timu nyingi zinakuja na kupotea ila azam...
Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao.
Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre...
Katika wachambuzi ambao nilikuwa nao bega kwa bega ni TOM CRUZ,
Huyu jamaa alikuwa yupo vyema sana kwenye habari mpya za kimichezo na burudani. Ila jamaa yupo kimya sana .,
5sep ndio ilikuwa post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.