Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City.
Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2.
Je Man City wafanyeje ili...
Tumwinbe Mungu sala ZETU ziwafikie mzifanyie kaziii
NASHAURI kwa MATUKIO machafu yanayoendelea LIGI ya NBC via marefa
Naomba mwakan muwaachie wenyewe wapambane na hali zaooo
Hizi PESA za...
Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema.
Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili...
Eti leo ni......
Leo ni
Mariamu na Mam
Eliza na Liz
Bakari na Beka
Nassor na Cholo
Samwel na Sam
Fatuma na Tuma
Ujugu na Jugu
Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha...
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli...
Kumekuwa na malalamiko kadhaa kuhusu marefa
Hakuna aliemsafi ila KUNA matukio ya AIBU AMBAYO unaweza shangaa limetoka neno baya
TUNAOMBA
Chama cha marefa wapen somoo maana ya mfungo na jinsi ya...
Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana...
AMEANDIKA ALLY KAMWE [emoji3578][emoji3593][emoji23]
"Makolo msipoteze nguvu zenu Bure...Hayo Maelekezo ya Kikosi mnachokitaka kwa Singida, Mtawapa wapange Siku mkicheza nao [emoji3]"
Sent from...
Aliyekuwa Kocha wa Singida Big Stars, Patrick Aussems amefunguka mazito kupitia Crown FM, baada ya sakata la Yanga na Singida kupamba moto
"Kuna wachezaji wamenipigia simu wamekerwa na hali...
#nguvumoja#...
UPDATES...
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
updates...
DK 5'
Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe.
1-0
DK 10'
Game On
Simba wanamiliki ball kwa kasi kali
1-0...
Mimi sio mtu wa kupangiwa unapaswa kufanya hiki kwa wakati gani kwasababu uliniajiri ili nifundishe sasa kwanini unipangie cha kufanya?
Kwasasa nafahamu sio kocha anaendaa kikosi cha kwanza hilo...
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa...
Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches
Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili
Wasiojuwa...
Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe...
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza...
Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani.
Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.