Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Kwa yanayoendelea kwa kaka yetu Sitoshangaa kusikia yanga amemtoa aziziz ki kwa mkopo kengold USHAURI tu kama vipi Baba engn huyuu muuzen mapema kabisa Hikituu anachokifanya Leo mkiona HATA...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 3....Simba ndio timu pekee...
0 Reactions
16 Replies
367 Views
Tufikie hatua tuwe wakweli tu. Hii michezo tunayofanya haijengi team na wala hatujui ubora halisi wa kocha. Tuambiane tu ukweli. Kwenda kucheza na teams ambazo tayari tumeshazinyong'onyesha...
12 Reactions
23 Replies
871 Views
Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania. Yaani Singida BS wameanza na...
8 Reactions
77 Replies
2K Views
Jana nilibet match moja tu ya Yanga na niliweka milioni nikijua Yanga atashinda, nikapiga hela yangu ya kunitosha kula wiki nzima. Kuna mechi ambazo huwa nina uhakika Yanga anashinda, kwa msimu...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm...
6 Reactions
12 Replies
407 Views
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana...
5 Reactions
93 Replies
6K Views
ACHANA na ufundi wake uwanjani. Hii ya sasa ni kali zaidi na nyota wa Yanga raia wa Ivory Coast kazua balaa jipya kwa wasanii wa kike wa Bongo Fleva na Bongo Movie ikiwa ni siku chache tu tangu...
4 Reactions
24 Replies
867 Views
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu. Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting...
4 Reactions
23 Replies
800 Views
Aisee kumbe huyu amorim sio mchezo mchezo, issue ni kuwa mfumo wake utaendana na maroboti ya Man Utd?
1 Reactions
2 Replies
353 Views
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars. Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani...
5 Reactions
268 Replies
8K Views
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais...
7 Reactions
24 Replies
739 Views
🚨 NEW WORLD RECORD! In Barcelona, Jacob Kiplimo has shattered history, becoming the first human to break the 57-minute barrier in the half marathon! He blazed through 21.1 km in an astonishing...
3 Reactions
17 Replies
202 Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia. Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
4 Reactions
45 Replies
841 Views
  • Redirect
"Jemedari anachuki na Yanga binafsi sisi tunajua, kuna kitu alikitaka Yanga akanyimwa basi amejenga chuki ndani ya Yanga" Mwinyi Mtaluke Mangala mjumbe wa baraza la wazee wa Yanga. "Kuna mtu...
0 Reactions
Replies
Views
When Allyson Felix became pregnant, Nike was prepared to cut the terms of Felix''s endorsement by as much as 70% due to the pregnancy, and told her to “know your place and just run.” Amid all of...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane TAHADHARI Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au...
10 Reactions
27 Replies
751 Views
Back
Top Bottom