Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini.
Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko...
Barua hii imfikie waziri wa wizara yetu pendwa ya SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO Mh. Paramagamba Kabudi
Kwanza napenda kuipongeza serikali chini ya Mh. Rais Samiah Suluhu kupitia Wizara ya michezo...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
TFF kuna nini kinaendeleaa, Nassoro Hamduni weka sawa yanayoendelea. Ushauri wangu tu achaneni kutesa watu uwanjani kama mmepanga bingwa, wapeni ubingwa Simba...
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu...
Huyu kaka amelaani vikali.
Ameshauri watanzania kutafuta kazi nyingine hizi za mpira sio kazi kabisa.
Amehojiwa na redio na amejibu hawezi sema kitu ila anaomba aeleze kidogo alishangaa redkad...
Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo.
Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka...
Tukashuhudie mechi ya ligi kuu NBC kweli isiyo na mipango twendeni tukaone mechi kikosi vikipangwa bila maelekezo toka kwa wamiliki wa timu ....Hata simba akishinda huwa anapata point halali za...
Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi...
Mechi imechezwa jana na mjadala ni kuhusu gemu ya jana, leo Kiemba anabadilisha mada eti hata Simba wana timu zao, timu gani imecheza na simba kukawa na mchekea?
Kiemba ameibuka akidai Simba...
Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.