Huwa sijui klabu zetu huwa zinatumia vigezo gani kuwapata wasemaji wao wa klabu, nafikiri hizi klabu huwa zinajiokotea tu wahuni bar au vijiwe vya kahawa wale wenye kusema sana kwa mihemko ndio...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya...
Salaam wakuu
Baada ya kukosa kuangalia mechi ya Jana sababu Nilikuwa kwenye ndege kutoka Pretoria kuja bongo Leo nimeangalia marudio na kuona yafuatayo
Kuhusu kuwapa nafasi wazawa ni jambo la...
Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja
Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo...
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo Tanzani (BMT) Neema Msitha ameyazungumza hayo leo jijini Dodoma katika mkutano wa waandishi wa habari akieleza mafanikio na muelekeo kuelekea maadhimisho ya miaka...
Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja...
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.
Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa...
Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea.
Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika...
Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?
Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote...
Ligi yetu inapoelekea ni kubaya sana, ili kukomesha huu upangaji wa matokeo kwa timu ya Yanga kujichukulia point kwa baadhi ya timu zinazodhaminiwa na mfadhili wao mkuu GSM ni Mo kui giangia Mzigo...
Kwa haraka haraka jamaa ni mtu anayependa attention kutoka kwa marefa na hata kutoka kwa mashabiki pindi awapo uwanjani. Akikosa attention huitafuta kwa namna yeyote haijalishi kwa kujirusha...
Wadau wa soka wanaona jinsi soka linavyonajisiwa na hawa wapenda sifa.
Hata hivyo kipimo kizuri ni mechi za kimataifa.Wana historia ya kuwa bingwa mara nyingi lakini historia yao kimataifa ni...
Uchawi wenu huwa mnafanya huku mafia kisiwa cha juani na gem ya mwisho aliwasaidia mganga toka msumbiji huku mafia na kuanzia jana mmeanza tena kuja mimi ikiwa mzaliwa wa mafia naapa kwamba...
Hiyo ndio mechi ya ndugu wawili mechi mbovu kuwahi kushuhudiwa mechi ya mipango mpira unapigwa wanaurudisha kwa mfungaji kipa anajirusha ushahidi bila...krosi inapigwa mabeki wanajitenga mfungaji...
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja...
Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea...
Huyu Hapa Ndio Mwamba Aliyeharibu Dili la Mabilioni la Mzize Huko Libya
LILE dili la bilioni 3 limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya Al Ettihad kuachana na...
Simba atabaki kuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa na yanga wazee wa ndondo cup watabaki kuwa yanga.
Kosa kubwa hapa yanga wanataka kuifananisha timu yao na Simba kwenye mafanikio ya kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.