Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye...
Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania.
Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya...
Hapo vip!!
Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993.
Sasa...
Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama...
Huyu dogo alidhani huku Yanga sisi tutampet pet. Ameona hana attention na Simba hawana issue naye sasa anaanza kutafuta sababu za kurudi Simba. Namwona jinsi ambavyo sasa anajitenga na wenzie. Na...
Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali...
Klabu ya Kagera Sugar imefuta kazi kocha wake Mellis Medo baada ya matokeo mabaya ya timu hiyo msimu huu.
Kagera imechukua maamuzi hayo baada ya kocha huyo kuongoza timu hiyo kwenye mechi 14 za...
Hamisa Mobeto ni Simba kindakindaki. Simba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda. Tofauti na ilivyo kwa Aziz Kii ambaye hana ushabiki kwa Yanga wala Simba...
Ramadhani Kabwili golikipa wa zamani wa Yanga anahusishwa kurudi tena katika klabu hiyo baada ya kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi.
Lengo hasa la kumrudisha Kabwili ni kumpa changamoto...
Baada ya kocha wa Al Hilal Florent Ibenge kusemekana kupokea mlungula kutokea kwa uto ili kuwapa uto uhai na matumaini ya kufuzu kwenda robo fainali, aliangaliaaa misimamo ya makundi mengine akawa...
🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud...
Jamani mpira ni burudani tu.
Na wala kushinda sio lazima.
Hata akina PSG au Liverpool huko ng'ambo hawashindi kila siku.
Kwa hiyo Simba na Yanga Pokeeni meseji hiyo.
Nimejionea leo uhusika wa...
Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka...
Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend...
Hali hii imekuwa mazoea, Kamati ya saa 72 inachukua hatua ila wakati huo hatua hizo zinakuwa hazina faida kwani mchezo unakuwa umeshakwisha, Na timu kama Namungo tayari imeshaathirika kwa maamuzi...
Kumekuwa na tension ambayo Yanga wanaitengeza na huwa inawapa faida. Mfamo dabi iliyopita tuliona wazi kabisa mchezaji akichezewa faulo ndani ya box lakini mwamuzi alimeza kipenga zaidi ya mara...
Azam media na NBC bank inamana bado hamjaliona hili...ukiangalia mechi ya leo ya simba na namungo jinsi refa halivyoboronga mechi hakuna mtanzania atakaetamani kulipia 28,000 yake kuangalia uozo...
BAADA YA MAKELELE MENGI
MWENYEKITI NASSORO HAMDUN WA KAMATI YA WAAMUZI TFF AMESEMA ANASIKIA TU HAJAPOKEA RIPOTI YA MECHI YA SIMBA VS NAMUNGO
BILA AIBU MPAKA SASA HUJAPOKEA MECHI YA SIMBA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.