Naangalia channel tena. Mchambuzi mmoja anasema kama kweli adhabu ya Ali Kamwe itakuja rasmi miaka miwili basi hii kamati haina nidhamu, Maadili na Hekima.
Haiwezekani kamati hawajatangaza rasmi...
Takwimu zinaibeba Yanga, mechi za derby za mwisho alizochezeha Ahmed Arajiga
Mwamuzi Ahmed Arajiga amechezesha michezo minne ya derby kati ya Yanga na Simba, ambapo Yanga wameshinda mechi tatu na...
HIki CHEO TUNASHAURI KIWE NA UKOMO TERM MBILI
MHUSIKAA UONDOKE UKAPAMBANE NA MAMBO MENGINE
KUMEKUWA NA KAMA UMWINYI FALAN NA WAKATI MWINGINE HAWA WATU HUFHANGIAA KUHARIBU SOKA LETU...
Yanga ni timu kali kwasasa kwa kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na timu kwa ujumla hivyo derby ya jumamosi Yanga ana nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa Simba ina hofu na tayari mnyama...
TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU
NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE
UKWELI...
Wakuu
Soka linaongezewa tuvitu vitu🤩
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itakuwa na onyesho maalum kwa mara ya kwanza katika historia ya...
Kuna HABARI
Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2
Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa
Kama mlifikiri mkimfungia...
Kama nilivyo fundi kwenye kufanya time traveling ( kwenda kuona matukio ya kesho haya ndo nmeona Baada ya mechi ya derby tarehe 8
Wenyewe wanasemaga picha za tr,8 zimeanza...
wakuu
Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri...
TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi...
Timu ya soka ya Yanga yenye makao yake eneo la Twiga na Jangwani inatarajia kushuka dimbani siku ya jumamosi dhidi ya kibonde wake wa muda wote Simba Sports Club.
Timu ya simba ndiyo inayo...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu.
Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja...
Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi...
Jamani hayo ni macho yangu ya rohoni ikitokea ivyo mnichangie niwape na matokeo mechi ya Simba vs yanga correct score
Bibi kasema wa kubet stake a wife
YANGA SIO MAADUI WA SIMBA, SIMBA WAMETOKA UBAVUNI KWA YANGA - @maulidkitenge
Kocha Mchezaji, Maulid Kitenge ametoa ushauri wa bure kwa Wasemaji wa Simba na Yanga kufuatia kuitwa katika kamati ya...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imewapa onyo kali Viongozi wa klabu ya Yanga kwa kosa la kuingia kwenye eneo la kuchezea (pitch area) katika mchezo uliowakutanisha Yanga dhidi ya Singida...
Wakuu Assalam Alleikhum.
Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.