Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naomba niwakumbushe kuanzia miaka ya 1970 mpaka miaka 1990. Tanzania iliwahi kuwa na makipa mahiri sana walipokuwa langoni. Yule ambaye hakuwai kuwaona hata mmoja kati ya hawa nitakaowataja hapa...
5 Reactions
75 Replies
19K Views
Wadau Karibuni katika mechi hii ya marudiano (Second Leg- CAF CHAMPIONS LEAGUE) kati ya TP Mazembe ambao wako nyumbani wakiwakaribisha Simba SC ya Tanzania katika uwanja wa Stade TP Mazembe ulio...
12 Reactions
741 Replies
54K Views
Wakuu Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani? Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo? Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally...
1 Reactions
97 Replies
6K Views
Bado takribani sa 1:30 mtanange kati ya Al Ahly(Misri) na Simba (Tanzania) upigwe. Utapata live update ,ikihusisha matukio yote ya mechi hii. Mechi itaanza sa 4 kamili usiku kwa saa za Africa...
7 Reactions
973 Replies
106K Views
Kariakoo Derby! Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo? Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga...
27 Reactions
1K Replies
54K Views
Leo tunashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club. Kikosi cha akiba cha Simba 1. Deogratius Munish 2.Paul Bukaba 3.Moahamed...
6 Reactions
595 Replies
75K Views
Tanzania itakuwa kimya kwa muda wa dakika 90 , mnamo tar 8 march. Live updates zote zitakuwa humu ndani. Majadiliano, uchambuzi, na mengineyo. Jiachie...! Usisahau ku_subscribe. FULL TIME...
5 Reactions
1K Replies
120K Views
Naaam wasalam, Ile siku iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..leo mtoto hatumwi dukani. Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya...
19 Reactions
739 Replies
44K Views
Leo ndio leo, Watani wa jadi wanakutana katika mechi ya ligi kuu mzunguko wa pili, Yanga akiwa mwenyeji wa mchezo huu. Yanga rekodi inambeba na wachambuzi wengi wanampa uwezekano mkubwa wa...
18 Reactions
614 Replies
73K Views
Achana na kile kipigo cha 5-0 hiki kinachokuja kinafurahisha tuvute subira
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Simba na Yanga ni timu kubwa zenye wafuasi wengi wenye hadhi tofautitofauti, zinahitaji wasemaji mahiri sio wasema chochote wanachojisikia wao hata kama hakina maana wala uhalisia. Hata kama ni...
1 Reactions
6 Replies
904 Views
Nini kilijiri siku hiyo hadi ikapelekea Yanga wakachabangwa goli 5-0 dhidi ya Simba? Je Yanga waliingiza kikosi dhaifu? Je Simba walikuwa na kikosi imara? Au Yanga walikosea masharti ya mganga...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Asee hii tabia ya vivulana vya siku hizi,unaweza kukuta mtu anaonekana msomi kabisa,lakini anaamua kumdhalilisha baba yake mitandaoni. Wewe mtoto wa kiume unanunuaje ugonvi wa mama dhidi ya baba...
4 Reactions
14 Replies
454 Views
1.Ulivunja Sheria mojawapo ya usiwaonyeshe walimwengu mafanikio yako lile saga la juzi kuwaita waandishi wa habari kuwa umemjengea mama nyumba usione watu wanakupenda fanya mambo yako kimya kimya...
7 Reactions
20 Replies
917 Views
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei...
14 Reactions
73 Replies
3K Views
Sioni ajabu hii Yanga kushindwa kwenda mbali kimataifa kwani mechi zinazochezeshwa na waamuzi wa nje,wanacheza mpira na sio mieleka wakati wa kukaba ndio maana wanafungika vizuri sana. Waamuzi...
0 Reactions
10 Replies
319 Views
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Shabiki mkubwa wa timu ya Yanga SC Mhe. Tarimba Abbas kupitia mahojiano aliyofanya na ITV Digital ametoa maoni yake kuelekea kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya timu ya...
0 Reactions
7 Replies
357 Views
Ali Kamwe ambaye ni Afisa Habari wa Klabu ya Yanga amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na kutenda kosa kupitia mitandao yake ya Kijamii akituhumiwa kuchapisha maandiko kinyume na...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Baada ya Palasa na Wenzake kutimuliwa, leo tena tunaambiwa hivi
1 Reactions
3 Replies
133 Views
Nimejaribu kufanya tathmini juu ya uchezaji wa Simba vs uchezaji wa Yanga na aina ya wachezaji wa Yanga na Simba nimekuja kuona nguvu kubwa ya Simba katika mashambulizi itabebwa na wachezaji...
5 Reactions
18 Replies
672 Views
Back
Top Bottom