KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa
Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯...
KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC
Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa
Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯...
Njoo tupeane update watu kwanini Wana ingia na magari mengi usiku?
Na kwanini watu Wana zuia wenzao kufanya mazoezi ya mwisho?
Kwanini TFF inazitetea sana izi team?
Azam kitengo Cha Promotions hua mnafanya Sana hili kosa la double standard kwanini?
Yani inachekesha sana Kwenye games 2 za mwisho Yanga Vs Simba zote Yanga ameshinda Tena Kwa goli 1-0 zote hapo...
Wakati tukienda kupambana na hawa CD Primeiro de Agosto, niwakumbushe tu Wanasimba wenzangu kuwa wa Angola siyo watu wazuri kwetu kwani mwaka 2013 tulipigika nje ndani na Libolo ya Angola kwa...
Mngekuwa na nia ya kufanya mazoezi mngefanya mazoezi asubuhi, mchana au jioni, maana hamna timu iliyokuwa inatumia uwanja wa taifa.
Sasa saivi usiku huu, kama sio uchawi mnaenda kufanya nini...
Ukidhubutu kucheza Betting kesho tuu.
Tafuta Mechi ya Yanga na Simba Hadi Sasa Simba ana Odds 4.21 dhidi ya Yanga 2.03.
Mpe Simba Ushindi. Weka 100,000/=. Inatoka 410,000/=. Au 1,000,000/=...
Wakuu
Bado saa kadhaa kuelekea Kariakoo Derby!
Mechi ya miamba wa soka la Tanzania (Yanga SC vs Simba SC) inakaribia, na Hans Rafael mchambuzi wa Soka ametengeneza muunganiko wa kikosi cha...
Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan.
Timu hiyo ilionesha ubora wake...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi mkoa wa Tanga, akituhumiwa kumshambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ridhaa yake...
Wanasema tii sheria bila shuruti.
Kutokana na tuhuma zinazomkabili msemaji wa Yanga Ali Kamwe, mashabiki wengi wa Yanga wamejitokeza kumtetea huku utetezi mkubwa ukiwa eti hakuna timu ligi kuu...
Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje.
Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa...
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi...
Golikipa wa zamani wa timu za Majimaji ya Songea, Simba Sc na Yanga Sc, Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefariki Dunia baada ya kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.