Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
IRB SEVENS RUGBY BOWL CHAMPIONS IN NEW ZEALAND MAIN CUP WINNERS N.ZEALAND PLATE WINNERS that was the world rugby sevens in new zealand winners pictures.lets met in japan next
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Aliyekuwa striker wa brazil maicon amefariki dunia kwa ajali ya gari.. =========== The 25-year-old Brazilian, who joined Shakhtar in 2012, had been on loan at top-flight rivals Illichivets...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Bonyeza Live Stream LINK
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mashindano yaliyo gharimu Kitita kikubwa zaidi katika historia ya Olimpiki yatafunguliwa Urusi leo huku medali 98 ziking'ang'aniwa katika siku kumi na sita. Sochi, ambayo iko katika pwani ya Urusi...
1 Reactions
2 Replies
892 Views
We love the big games..."two horses and a little horse that still needs milk and to learn how to jump.Mourinho tunakushukuru kwa kutusaidia kukaa hapa juu lakini kutokana na dharau zako daraja...
1 Reactions
0 Replies
842 Views
Nimesikitishwa sana kipindi kinaendelea sasa na mada kuu inamuhusu yeye lakini hayupo, yupo Tarimba tuu MADA "Siku 100 za uongoz mpya wa TFF kuingia madarakan, Yap mafanikio na changamoto...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika mech ya fainali ya kombe la Mapinduzi Simba ilichapwa moja bila na klabu ya Kampala City Council ya Uganda. Sababu walizotoa ni timu kuzowea kucheza usiku hivo ikawawia taabu siku ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikua natafakari vijana wa mbeya city wanavyojituma mwanzo wa gemu mpaka mwisho .....nimegundua ni siasa ndo inaibeba hiyo timu ..mbeya mjini ni jimbo linalotawaliwa ba chadema at the same time...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumesikia TFF eti wanaandaa sherehe ya kutimiza miaka 50 tena kwa kujiunga na FIFA sio ya kuanzishwa kwake! Hii ni fedheha tu kwa wapenda soka hapa nchini, hivi inatusaidia nini sherehe hii? Mie...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
leo nani kuibuka mbabe?
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Barcelona vs.Real Sociedad : saa 12:00 usiku Live Stream
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Habari wana jukwaa ,jana kupitia kwny vyombo vya habari nikaona taarifa kuhusu kuletwa bingwa wa mchezo wa chess ili kuhamasisha wanafunzi waanze kuucheza. Je mchezo huu wa chess unamanufaa gani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamhuri Stadium, Morogoro City to be. Mtibwa 1-1 Simba: FT
1 Reactions
226 Replies
17K Views
Real Madrid Vs Atlético de Madrid: Today,10:00 PM (EAT) Live Stream Link
0 Reactions
0 Replies
706 Views
today, 11:00 PM, EAT LIVE STREAM LINK
0 Reactions
180 Replies
11K Views
sina maneno mengi, ntatimiza nachosema... jpili njema..... .........updates..... Technically huwezi tembea uchi coz nilisema match ni jumapili na sio jumatatu, pia watu wako ulaya ww uweke...
2 Reactions
102 Replies
10K Views
Baada ya kuishuhudia Mbeya City ikidhulumiwa Jana kwa kucheza pungufu ili Yanga ishinde kuwafurahisha mashabiki wa Yanga tena kwa msaada wa Refarii, Kiroho safi naiona Mbeya City ikipotezwa kwa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu, Ningependa kujua all time top player wa Tanzania maana nasikia majina tu wakina Lunyamila,Kizota,Manara nk. kwa mlio washuhudia nani alikuwa the best??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, tuseme ukweli. Hili suala la mgawanyo wa mapato ya mechi nadhani linapaswa kuangaliwa upya. Klabu zinaonewa sana. Na pia iwe ni changamoto kwa klabu kuanzisha viwanja vyao. Yanga kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu leo ni leo kwenye uwanja wa Taifa mechi kali kati ya Yanga na Mbeya City,hawa unaweza kuwaita wabishi wa ligi kuu bara! Mbeya City tayari imejigamba kushinda mchezo huo na kwamba hamu yao...
1 Reactions
323 Replies
24K Views
Back
Top Bottom