Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ni amchezaji wa zamani wa yanga na jkt ruvu.Amefariki baada ya kuvamiwa na kuchomwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya jangwani Jana usiku.
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mohamed Salah - The Rocket Mohamed Salah ● The Rocket ● Best Skills Ever - YouTube Naambiwa leo ataanza Kulia wakati Hazard atakuwa kushoto.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mdau bw. Mayombo kaja kwa mbwembwe sana hapa eti atatembea uchi kama Chelsea ikishinda. Namshauri aangalie asije weka rehani mke wake.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Man city n tim ambayo ina washabiki weng pind pale inapocheza na tim penzani yako! leo man city anampiga mtu 7 bila wacwac
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa American Football mnakaribishwa Ab-Titchaz usitusahau kwa mapichaaz....
2 Reactions
122 Replies
7K Views
Kwetu sisi ni kazi tu kwa kwenda mbele tunataka leo mtoke mkijiumauma na kulia chelsea hatuna mchezo tutawashushia 7-0 leo ndo mtaona uanaume wetu tuwapo uwanjani kwanini tuandikie mate wakati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa! Salaam.Naomba msaada kwa wale wenye kufahamu shule nzuri za kufundisha watoto mpira wa miguu (Football) kwa watoto. Nina mtoto wa miaka mitano wa kiume ambaye naona ana kipaji...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndugu wadau wa JF, Iwapo FIFA itamtangaza Messi kama mchezaji bora duniani safari hii, basi ndiyo itakuwa mwanzo na mwisho wa kushabikia mpira wa miguu maisha yangu yote.
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Wadau wa katalunya ndo habari ya mjini
0 Reactions
4 Replies
832 Views
1 February 2014 CHAN 2014: Libya beat Ghana to snatch first African title By Mohammed Allie BBC Sport, Cape Town Libya claimed their first senior African title with a 4-3 penalty shoot-out win...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
haya tusuke mikeka hapa City leo uhakika natafta ya kujazia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni sana Man utd, msimu huu kumaliza top four ni majaaliwa ya Mola!!!!!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Wadau mapema sana tumefika uwanjani...hali ni ya Joto nadhan hali hii ni mbaya sana kwa Yanga hasa kwa kuwa wamezoea Baridi huko Uturuky na pia hawa bhanyambala naaambiwa huko kwao Jijin Mbeya...
1 Reactions
209 Replies
18K Views
Yule kocha aliyeweka misingi imara ya timu ya taifa ya spain hadi kufika hapa luis Aragones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Juventus vs inter milan live streaming
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wenzangu wa Man U poleni na matatizo. Naombeni kufahamu vigezo vya Moyes kupewa ukocha Man U. Kwa anayejua atujuze. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Arsenal v Crystal Palace Live stream Link
0 Reactions
0 Replies
1K Views
niliona live updates ya mechi ya leo, thread hiyo ilianzishwa na bwana @Whabejasana, naitafuta siioni au macho yangu??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mashabiki wa timu ya Mbeya City wanaokadiliwa kuzidi mia nane(800)wanatarajiwa kuanza kuingia jijini Dar es salaam kuanzia kesho jumamosi kwa ajili ya kuishangilia timu ya Mbeya City. Timu hiyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa Mbeya City wameshacheza mechi. Manji keshamalizana nao nje ya uwanja. Chezea mtonyo wa Manji wewe.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom