Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kwanza tuwapongeze wachezaji , viongozi na benchi lote la ufundi , na mashabiki wote wa city ambao mnatuwakilisha mashabiki wenzenu tuliopo Mbeya. Niseme tu kwa mechi hz mbili mbeya city mmefanya...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
hiyo ni kauli ya man city na chelsea kwa mashabiki wa arsenal leo usiku. arsenal wana matatizo sana na ramsey naskia nje week sita
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnijulishe matokeo ya mbeya cty na kagera sugar
0 Reactions
11 Replies
3K Views
MOYES SIO KOCHA SAHIHI WA MAN UNITED by Mndengereko Kwanza ni declare interest mimi ni shabiki wa man u na haya ninayoongea hapa ni kwa mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kila mtu...
6 Reactions
181 Replies
15K Views
The top four sides in the Premier League will fight it out against each other in two mouthwatering clashes. "No problem - if you want to be the best, you have to play the best," said Chelsea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niliona jana kipindi kimoja cha michezo kinachorushwa na ITV mzee mmoja akidai club hii ni mali yake bahati mbaya sikuona mwanzo wa mahojiano ulikuwaje!Hii imekaaje huyu mzee kudai Yanga ni mali...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Cranes striker Emmanuel Okwi’s saga has taken a new twist as FIFA, the international football governing body has given his former club Etoile du Sahel of Tunisia an ultimatum to declare whether...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati usajili wa Emmanuel Okwi Yanga ukizuiwa na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeitaka klabu ya Etoile du Sahel (ESS) ya Tunisia kuhakikisha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
King of rap a.k.a the Prezident Prezzo ameendelea kutisha haswa baada ya kujinunulia gari jipya la mamilioni aina ya Crystler. Tukio lake la mwisho ni pale alipokuwa akishoot video yake mpya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
David Moyes kafungua Pochi lake kuinusuru Man U...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wanamichezo wenzangu... Leo naomba nije na kisa hiki cha kusikitisha kuhusu mchezo niupendao sana, mpira wa kikapu.. ...kuna kocha mmarekani alijitolea kuja Tanzania kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimae mchezaji nambali wani wa Tennis kwa wanaume Rafael Nadal anapambana na kinda Stanslas Wawrinka ambaye ni namba nane kwa rank za tennis. Mda ni sa 7:30pm (Sydney time) au sa 11:30 am (East...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani naona Simbaz mpo kimya sana mnahofia kichapo mpaka mmesusa kuanzisha uzi? Ok nimejitolea kuwaanzishia uzi. Cc Masuke UPDATES HT:Simba1-0Rhino
0 Reactions
102 Replies
9K Views
Kenya's Lupita Nyong'o has been nominated for best supporting actress title in the movie 12 Years A Slave. On Thursday, the movie was also nominated for Best Director, Best Adapted Screenplay and...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Haya wadau wa kabumbu,heshima kwenu,leo kama kawa mabingwa watetezi YANGA wanashuka dimbani uwanja wa taifa kukipiga na watoto wa jiji ASHANT UNITED. Nani zaidi leo.je wazee wa uturuki wataendelea...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wenger anahisi uhamisho wa Mata kwenda ManU una walakini hasa ukizingatia Chelsea tayari amecheza mechi mbili na ManU.. Morinho amesema transfer jambo la kawaida tu. BBC Sport - Juan Mata: Wenger...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Barcelona president Sandro Rosell said he had resigned in the aftermath of a Spanish court's decision to investigate last year's signing of Brazil forward Neymar "The success the club has had...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jina la mchezaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda halijaorodheshwa katika majina watakaoichezea klabu ya Yanga kwenye mzunguko wa ligi kuu ya Tanzania bara mzunguko wa pili.hii ni kutokana na sakata...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
habar JF ningependa kuzungumzia kuhusu etoo kuhusu perfomance yake ya hivi karibuni ni haki kwake kuondoka chelsea au anastahili mkataba mpya darajan
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom