Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
  • Closed
Jana niliwasiliana na mchezaji mmoja wa Yanga alieko Uturuki ambae ni jirani yangu kaniambia walifungwa 7-1 na timu moja ya huko siku ya jumatano ila waliambiwa wasiseme na waandishi wa habari...
3 Reactions
60 Replies
9K Views
Mkutano wa yanga umeanza utulivu ukiwa unatawara mgeni wa heshima mama fatuma kalume na rais wa TFF bwana jamali malinzi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana Michezo, Mpaka mkutano wa jana kuisha hakuna jibu sahihi juu ya ujenzi wa kiwanja cha kaunda ili nao Yanga wawe na kiwanja chao. Imekuwa ni hadithi kama ile ya sungura na fisi. Francis...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ronaldo ana magoli mangapi kwenye ligi ya spain msimu huu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Former Wolves and England goalkeeper Bert Williams has died, aged 93. Williams joined Wolves from Walsall after the Second World War and went on to make 420 appearances for the club. He won...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatia sare ya 1-1 na Levante,FC Barceona imejikuta katika hatari ya kupokwa uongozi wa La Liga. Hadi sasa, ikicheza michezo 20,Barcelona ina alama 51 huku Atletico Madrid ikiwa na alama 50 na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mpaka sasa ni Chelsea 3 vs. 1 Manchester United 0 ni kipindi cha pili, nimeumia sana kwakweli kwa mlio mbali na TV basi unaweza cheki mechi hii kupitia link hii hapa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
DATE: Sunday 19th January 2014 KICK OFF: 4:00pm GMT LIVE STREAM LINKS Link 1 Link 2
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikicheza kwa kushambulia kutokea pande zote za uwanja(kushoto na kulia)Yanga leo imeshikwa shati na timu ya ligi kuu ya Kazakhstan(KS Flamurtari) Mchezo huu ambao umemalizika muda mfupi uliopita...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Jamani hivi kama tunaweza kupata matokeo ya mechi iliyochezwa Side Stars Complex Manavgat Antalya kule Uturuki inakuwaje tunashindwa kupata matokeo ya game iliyopigwa hapo Temeke, enh....wapi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mourinho made Rooney his top transfer target over the summer, but despite lodging three separate bids for his services, United refused to sell. The Blues boss now says that he expects David Moyes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilifikiri ningekuta uzi wenye updates humu, lakini matarajio yangu yamekuwa sivyo. Pamoja na vyombo vya habari kujitahidi kutangaza kwa usawa michuano hii inayoshirikisha wachezaji wanaocheza...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba, Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa... Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.
0 Reactions
137 Replies
13K Views
Wakuu ningependa kujua aliko huyu jamaa, make nilikuwa namkubali sana ni moja kati ya wachezaji bora kuwahi kuwepo.
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Unajua ukimuangalia moyes yupo simpo sana lakini ni mtu mwenye akili sana katika maamuzi yake mfano timu yake katika hali yake sasa iliyonayo ila mcheki anavyomcheki anavyoangaika kutafuta mtu...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Wadau hilo goli referee alilokataa ni goli au wazee wetu wa ngwasuma wameonewa
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Soka nayo imekuwa politiki no.2, mzee anasema bado yuko fit kuongoza. Source Star tv michezo.
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Ni mwendo wa vipigo tu: Katika mechi yake ya 2 ya kujipima nguvu, Wafalme wa kusakata kabumbu nchini Tanzania Dar Young Africans almaaruf kama Yanga wameifunga team ya Altay S.K inayoshiriki Ligi...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kocha wa sasa wa chelsea leo hii amenifurahisha sana kwa maoni yake alotoa wakati anahojiwa na bbc sport. Amejaribu kusema kwamba hamuonei huruma moyes japo yupo kwenye wakati mgumu sasa kwa kuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom